Umeme upo hapo ulipo kwa sasa?

Umeme upo hapo ulipo kwa sasa?

Hivi wanaposema. Gridi ya taifa imesumbua , halafu karibu nchi nzima inakosa umeme .Tanesco hawana redundancy system kwamba mfuno mmoja ukisumbua mfumo mwingine ufanye kazi hata kwa nusu ya uwezo wake ?
Gridi imesumbua kilimanjaro huko lakini nchi karibu yote ipo gizani.
 
Hivi wanaposema. Gridi ya taifa imesumbua , halafu karibu nchi nzima inakosa umeme .Tanesco hawana redundancy system kwamba mfuno mmoja ukisumbua mfo mwingine ufanye kazi hata kwa nusu ya uwezo wake ?

Mfumo wa umeme wa subsidiary uanze kujengwa, nadhani mama yetu Samia rais wetu mpendwa, laa aziz wa watanzania aanzishe hii project, kwa mfumo wa kisasa zaidi, kwa teknolojia ya kisasa zaidi, ili hatimaye mifumo iwe inapokezana, ulaya na America kote huwa na mifumo miwili, ndicho wanachojitapa nacho, nasi twende huko!
-happy passover!
 
Yaani Kilimanjaro ndio inalisha nchi au? Tatizo lingetokea Kinyerezi ningeelewa, ila sio Kilimanjaro. Hii ‘Circuitry’ yao ikoje?
 
Mfumo wa umeme wa subsidiary uanze kujengwa, nadhani mama yetu Samia rais wetu mpendwa, laa aziz wa watanzania aanzishe hii project, kwa mfumo wa kisasa zaidi, kwa teknolojia ya kisasa zaidi, ili hatimaye mifumo iwe inapokezana, ulaya na America kote huwa na mifumo miwili, ndicho wanachojitapa nacho, nasi twende huko!
-happy passover!
Tanzania tuna uneme wa kututosha kinachotusunbuwa ni ujinga tu.
 
#sister_faizafoxy,nimetoa ushauri muhimu sana juu ya hatma ya huko tuendako, tuna viwanda vingi vinakuja na harakati nyingi za kiuchumi zinakuja zote hizi msingi wake mkuu ni umeme wa uhakika.
 
Back
Top Bottom