Nehiii...., no ya kihindi hii.Shirika lipewe waarabu😎😎
Umerudi wapi? Mbona kwetu badoHAYA UMERUDI KUNA MWENYE LAWAMA TENA?
Baada ya kupitisha maombi makali kabisa! 😁😁😁
Umerudi kitambo sana, upo eneo gani?Umerudi wapi? Mbona kwetu bado
Umenena kunako.Fungeni backup tu, kuendelea kulilia umeme wa TANESCO ni kuishiwa mbinu!
Wapi!??Huoo! 12:10
HAYA UMERUDI KUNA MWENYE LAWAMA TENA?
Baada ya kupitisha maombi makali kabisa! 😁😁😁