Umeme umekatika ZEC

Umeme umekatika ZEC

Rivamba J

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
386
Reaction score
170
Matangazo ya tume ya taifa ya uchaguzi Zanzibar yamesitishwa baada ya umeme kukatika katika ukumbi wa kutangazia matokeo ya urais.
Duh kazi ipo
 
Nimecheka balaa, halafu mtangaza matokeo anasema mpaka umeme urudi ndio ataendelea!
 
Maajabu ya Tanzania haya na hawana hata back up generator kwa tukio kama hili
Kuna nini hapa ?? Matokeo yanasimamishwa kwa kukosa umeme ???????
 
Ukatike uwake maalimu matokeo yote ayajua msilete usimbilisi zec
 
hao zec wanatimiza wajibu....when kakubali kushindwa na maalim...sasa ccm zenj wanashikana mashati
 
Maajabu ya Tanzania haya na hawana hata back up generator kwa tukio kama hili
Kuna nini hapa ?? Matokeo yanasimamishwa kwa kukosa umeme ???????

Amin nawaambia goli la mkono mwisho Lindi tuuuu. Lazima kieleweke leo
 
ivi kwan kura laki tano tuu si kila mzanzibar anayajua jamani,au wameshachijwa?
 
Wakuu nasikia wanaendelea. Mimi nna st times. Naomba mututupie hapa kinachoendelea
 
Back
Top Bottom