Umeme umekatika nchi nzima.

Rapha

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
634
200
Sijui kama ni la kweli ama la, ila kwa mkoa niliopo hakuna umeme na baadhi ya watu niliocontact nao wanasema maeneo waliyopo hayana umeme.
 
anayekataa kuwa umeme haujaktika hajui kinacho endelea ni kweli haupo hapa ifakara,mwanza hamna umeme, na kwingi:A S angel:neko
 
Hapa Kyela mkoani Mbeya ulikatika asubuhi ukarudi mchana na saa tano ka,ili usiku huu umekatika tena. What is happening?
 
Hapa Kyela mkoani Mbeya ulikatika asubuhi ukarudi mchana na saa tano ka,ili usiku huu umekatika tena. What is happening?
Tunabadilisha nguzo ili kukabiliana na mvua za alinino!!
Tutakua kwenye service hii mpaka tar 26.09...wananchi tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza na nikiwa kama waziri natanga kwamba kila mwananchi anayetumia luku atapewa unit 40 bure kama kumpoza na usumbufu alioupata,mungu ibariki TZ,mungu ibariki CCM yetu.
 
Back
Top Bottom