Umeme tatizo

Umeme tatizo

MUREFU

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,331
Reaction score
353
Kulikuwa na mwanaume wa kichina na mwanamke wa kitanzania wakawa wamefanya tendo baada ya miez tisa yule mwanamke akajifungua yule mchina akaenda kumtazama mtoto akakuta mweusi akamuuliza mkewe
mchina: fipi muke angu mbona mimi na veve nyeupe?
mkewe: hata mimi ninashangaa mana hata mm ni mweupe wewe imekuwaje kwan?
mchina: hapana veve na mimi hakuna ntatizo tatizo ni ntanzanyia hakuna meme
mkewe: kwahyo tatzo ni umeme?
mchina: ndio! Kan mimi hot na veve hot na meme hakuna katika kufanya tendo ndo mana toto ungua kabisa
 
Back
Top Bottom