Phd Hewa
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 572
- 466
Maswali Yangu Machache Ni Kwanini Umeme Ruangwa Unasumbua namna Hii?
Msema Kweli Mpenzi wa Mungu Mpaka sasa Leo hii Umeme Umekatika Zaidi ya Mara Tano Zima Washa Zimekua Kila Muda na sasa ni Zaidi ya Miezi Miwili Kumekua Na Tatizo Hili Tanesco Ruangwa Kulikoni?
Hivi Munaijua Hasara Inayopata Wateja Wenu Kuhusu Vifaa Vya Umeme Wanavyotumia?
Update:
Umeme Ruangwa Lindi bado unasumbua Toka mwezi wa tano mwaka huu 2017 kwa siku mjini hapa Umeme unakatika zaidi ya mara 5
Na tanesco bado wapo kimya hawasemi kwa nini umeme unakatika Mara kwa mara,