Umeme Ruangwa Lindi ni Jipu Lisilotumbulika

Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
572
466
Maswali Yangu Machache Ni Kwanini Umeme Ruangwa Unasumbua namna Hii?
Msema Kweli Mpenzi wa Mungu Mpaka sasa Leo hii Umeme Umekatika Zaidi ya Mara Tano Zima Washa Zimekua Kila Muda na sasa ni Zaidi ya Miezi Miwili Kumekua Na Tatizo Hili Tanesco Ruangwa Kulikoni?

Hivi Munaijua Hasara Inayopata Wateja Wenu Kuhusu Vifaa Vya Umeme Wanavyotumia?

Update:
Umeme Ruangwa Lindi bado unasumbua Toka mwezi wa tano mwaka huu 2017 kwa siku mjini hapa Umeme unakatika zaidi ya mara 5
Na tanesco bado wapo kimya hawasemi kwa nini umeme unakatika Mara kwa mara,
 
Yaani ni hatari mkuu hili ni tatizo la kila siku yaani hakuna siku ambayo umeme unawaka toka asubuhi hadi usiku bila kukatika-katika.

Umeme Ruangwa imekuwa ni kero mno vitu vya umeme vinaungua, kazi hazifanyiki Tanesco Ruangwa hili ni tatizo sugu sasa.

Maswali Yangu Machache Ni Kwanini Umeme Ruangwa Unasumbua namna Hii?
Msema Kweli Mpenzi wa Mungu Mpaka sasa Leo hii Umeme Umekatika Zaidi ya Mara Tano Zima Washa Zimekua Kila Muda na sasa ni Zaidi ya Miezi Miwili Kumekua Na Tatizo Hili Tanesco Ruangwa Kulikoni?

Hivi Munaijua Hasara Inayopata Wateja Wenu Kuhusu Vifaa Vya Umeme Wanavyotumia?
 
Yaani ni hatari mkuu hili ni tatizo la kila siku yaani hakuna siku ambayo umeme unawaka toka asubuhi hadi usiku bila kukatika-katika.

Umeme Ruangwa imekuwa ni kero mno vitu vya umeme vinaungua, kazi hazifanyiki Tanesco Ruangwa hili ni tatizo sugu sasa.
Mkuu yani we Hacha tu Tatizo Sijuwi ni nini Hasa.
 
Msinug'unike saana waulizeni kahama,kila msimu wa masika mji wa kahama na vitongoji vyake hukosa umeme kwa muda mrefu,afadhali sasa mambo yamenyooka kidogo.
 
Screenshot_20170123-165102.png
Nimelizungumzia hili Week Iliyopita.
 
Inaaminika kuna kigogo anataka alete ile biashara ya Majenereta hapo Ruangwa ndio maana umeme unasumbua aisee
 
Back
Top Bottom