Hawa jamaa wa TANESCO hata hawawezi kutumia akili kidogo,nimeshangaa leo umeme umewashwa kuanzia saa 7 usiku mpaka asubuhi kwenye makazi yetu,sasa mimi kinachonikera mchana kutwa mnazima umeme halafu mnarudisha usiku kuanzia saa 7 mpaka asubuhi wakati watu wamelala sasa inamaaana gani?Itamsaidiaje mwananchi wa kawaida?Au mnakomoa?kweli nimeshindwa kuelewa.