Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,652
- 5,634
Habari zenu waungwana,mie ni fundi wa umeme wa majumbani,najitokeza kwenu kuwaelezea shughuli zangu huenda kuna siku ukapatwa na tatizo lolote la kiumeme katika nyumba yako,mie ni fundi wa umeme nahusika na
-kufanya wiring katika nyumba iwe kubwa ama ndogo
-kulekebisha hitilafu yoyote ya kiumeme katika nyumba
-Na pia nafanya checking katika nyumba
-mwisho kabisa natoa ushauri katika mambo ya kiumeme.
Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane 0718 30 21 32. email rjuma224@gmail.com