UMEME.....Hii ni too much sasa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UMEME.....Hii ni too much sasa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ibrahim K. Chiki, Jul 5, 2011.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Daah, kweli nimeamini umeme ndo kila kitu, kwa sababu kwa sasa gharama za maisha zimeongezeka sana hasa kutokana na huu mgao wa umeme. Leo mida ya saa nane mchana nikiwa maeneo ya kinondoni manyanya kwenye mishe mishe, nilipigiwa simu na jamaa flani akaniambia nimpelekee cv yangu pale mwananyamala, kwa kua mi huna na tabia ya kutembea na flash disk, nikaanza kutafuta stationary ili niprint then nimpelekee..imagine nilitafuta sanana na ni kwasababu nyingi zilikosa umeme, nikapata moja inayotumia genereta but nilipouliza bei nilichoka. eti kuanzia page 5 ni sh 1000 per page bt below 5pages ni 1500. ilibidi niprint page zangu 3 thou roho iliniuma sana na kusababisha niitukane na kuilaani sana serikali hii ya awamu ya nne na ngeleja kwa ujumla. inauma sana. nawakilisha.
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Bora we umetukana baada ya ku-print CV kwa bei kubwa,
  mi mwenzio kuwatuk*na hawa ndo kama chai,
  yaani daily
   
 3. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ina laana kutoka kwa MUNGU leo hii inatufanya twe maskini na kuishi kwenye giza si muda mrefu mgao wa umeme utakuwa wa masaa 24,HONGERENI MLIOICHAGUA CCM NA KUTUFIKISHA HAPA.
   
 4. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Mficha uchi hazai, so badala ya kutukana kimoyomoyo let us be real and take action.
   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145


  Wana JF,

  Kwa Taaarifa tu nyepesi nyepesi Mwazi wa 8 si mnajua hakutokuwa na umeme kabisa tujiandae kuandamana tuuu basi
   
 6. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Eeh mungu, sisi tuliwapenda ccm, tunaomba wewe uwapende zaidi ili uwachukue mapema.aa amen.
   
 7. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mtindo huu, kuna kila 7bu ya kuanza tembea na hardcopy.
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
 9. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  True dat...
   
 10. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #10
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli swala la umeme hapa TZ kwa sasa, is beyond explaination!
   
 11. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #11
  Jul 6, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nyie mlipomchagua rahisi anayefikiri kwa kutumia miguu mlitegemea nini? Mimi sasa hivi naprocess uraia huku uarabuni. Sitaki shida mie ya kuja bongo kuhangaika: foleni yenu, umeme wenu, maji yenu, afya yenu, kila tatizo ninyi tu? Duh, hata laana sidhani kama huwa inakuwa hivyo?
   
 12. g

  geophysics JF-Expert Member

  #12
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nyie mnaotukana ndo hamwendi vituoni kupiga kura...mnawaachia watu wa vijijini wanao amini TANU bado ipo madarakani..... Tafakari.
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  haaaaaaaaaaaa
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Jul 6, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Tatizo tumekua watu wa internet sana, labda wengine wana-comment tu kujiongezea idadi.Kama tuna nia ya kweli basi tuanzishe mchakato serious kwa ajili ya maandamano ya kupinga mgao wa umeme usio na kikomo
   
Loading...