Umeme hali ni tete

Umeme hali ni tete

Kuanzia jana umeme umekatwa maeneo ya ubungo toka asubuhi saa moja na kurudi saa mbili usiku,leo tena wamekata umeme saa moja asubuhi,hakuna taarifa zozote ninazozifahamu juu ya kukatika kwa umeme toka asubuhi mpaka jioni,nauliza wadau humu JF kama kuna taarifa zozote za mgao huu mkali kutoka kwa Shirika leo tegemeo,shirika la umeme TANESCO.

Hapa Kwembe leo ni siku ya tatu hakuna umeme!!! Mimi nilidhani kuna tatizo la kiufundi mahali na kwamba lingefanyiwa kazi ndani ya masaa kadhaa, lakini leo tunaenda siku ya tatu hatuna umeme. Mgao wa kabila gani huu jamani?

Tiba
 
Hata Sinza ni hivyohivyo yaani taabu kwelikweli
Kuanzia jana umeme umekatwa maeneo ya ubungo toka asubuhi saa moja na kurudi saa mbili usiku,leo tena wamekata umeme saa moja asubuhi,hakuna taarifa zozote ninazozifahamu juu ya kukatika kwa umeme toka asubuhi mpaka jioni,nauliza wadau humu JF kama kuna taarifa zozote za mgao huu mkali kutoka kwa Shirika leo tegemeo,shirika la umeme TANESCO.
 
Leo Tabata wamepata maji tangu tarehe 2 Januari. Je, hapo katikati walitunza maji ya kutosha kiasi hicho? Ni kweli kwamba Dar wanahitaji maji kwa interval kubwa za namna hiyo? Tunaomba japo saa moja kila siku badala ya mara mbili kwa mwezi.
 
Next itakuwa mwezi wa pili kwa mtiririko unaoonekana. Wanaharakati wa gesi Mtwara wanahitajika kwenye maji Dar pia.
 
prof. Muhongo vipi mbona yupo kimya? Yeye si ndiye aliyesema hakutakuwa na mgao wa umeme ? Dah bongo raha sana

Mnyika ni mmojawapo ya walioongoza kumshabikia Muhungo wakati anaropoka vile vioja vyake kule bungeni.but wenye akili zetu tulitambua walikuwa after nani,and now what????mnamshabikia kiongozi mbovu sababu tu mnataka kumchafua mtu ambaye mnatofautiana naye kimsimamo???tena wa chama chenu????sasa mezeni matapishi yenu mrudi mkamhoji kwa nini anawaleti down au ndo mafisadi alosema wamemzidi nguvu!!!!
 
Tanesco wanasemaje jamani kuhusu huu mgao,weekend hii hamna umeme nikashinde wapi sasa?
Usijali ukifikiri sana maisha ya bongo kipara hichoooooo unakiita.twende zetu quality center savanna kwenye kiyoyozi huku tunapiga maji taratibu mida ya saa moja umeme utakuwa umerudi.
 
huku uswazi kwangu mara ya mwisho kupata maji ya bomba ilikuwa 1995

Nahisi waliwanyang'anya na kuwapelekea wale wakazi wa Mbezi Beach, kwa kuwa kwa miaka kadhaa sijawahi kusikia mgao mkali hayo maeneo.
 
Mnyika ni mmojawapo ya walioongoza kumshabikia Muhungo wakati anaropoka vile vioja vyake kule bungeni.but wenye akili zetu tulitambua walikuwa after nani,and now what????mnamshabikia kiongozi mbovu sababu tu mnataka kumchafua mtu ambaye mnatofautiana naye kimsimamo???tena wa chama chenu????sasa mezeni matapishi yenu mrudi mkamhoji kwa nini anawaleti down au ndo mafisadi alosema wamemzidi nguvu!!!!
May be kuna watu wanamfanyia hujuma ili aonekane ameshindwa..Wanadamu hawaamini..Watu na suti zao wanaweza kukaa kikao kumkomoa baba wa watu.
 
TANESCO wanapashwa kuwa waungwana na kutwambia kwa nini umeme unakatika au haupatikani katika baadhi ya maeneo badala ya kukaa kimya. Lini watajifunza kuwa waungwana? Au kwa kuwa hawana mpinzani?

Tiba
 
Taa-Nesco inadaiwa mabilioni ya mapesa na makampuni yanayofua umeme kwa kutumia mafuta mazito na gesi asili. kutokana na madeni hayo makampuni hayo yamekuwa yakitishia kuzima mitambo yao kama njia ya kushinikiza walipwe. mara nyingine makampuni hayo huzima baadhi ya mitambo kwa visingizio kuwa kuna hitilafu, kwa hali hiyo katika gridi ya taifa kuna kuwa na upungufu wa umeme. pia viwango vya kina cha maji katika mabwawa kimeshuka sana kiasi kwamba ufuaji wa umeme umeathirika! TZ kwa sasa tunategemea kwa asilimia kubwa umeme wa makampuni binafsi. tegemeo la umeme wa maji limetoweka kutokana na hali ya hewa kutokuaminika! wanasema athari za mabadiriko ya tabianchi. labda tusubiri hilo bomba la gesi kutoka mtwara hadi dar litakapokamilika, maybe umeme wa kutosha utazalishwa.

mimi kinachonishangaza ni serikali kupuuza mawazo mazuri ya watalaam na wabunge wa upinzani kisa eti watawapa credit wakitekeleza mawazo yao. wabunge kama Zito waliwahi kutoa mawazo kwamba serikali inunue mitambo yake binafsi ya kufua umeme badala ya kutegemea mitambo ya makampuni binafsi. mawazo yao yalipuuzwa kisa eti wapinzani. baadhi ya viongozi wa serikali wanatoa sababu eti serikali haifanyi biashara kwa hiyo haiwezi kununua mitambo yake na kufua umeme. sijui kama hawajui kuwa nishati ya umeme ndio backbone ya uchumi wa Taifa na uchumi wa mwananchi m[SIZE=3]moja mmoja binafsi. then wanatuimbia ngonjela eti [SIZE=3]'
[/SIZE][/SIZE]maisha bora kwa kila mtanzania inawezekana' unless kama ni 'bora maisha kwa kila mdanganyik[SIZE=3]a anayewezwa sa[SIZE=3]na[/SIZE][/SIZE][SIZE=3][SIZE=3]'![/SIZE][/SIZE]
:bowl: :bowl: :bowl:
 
Taa-Nesco inadaiwa mabilioni ya mapesa na makampuni yanayofua umeme kwa kutumia mafuta mazito na gesi asili. kutokana na madeni hayo makampuni hayo yamekuwa yakitishia kuzima mitambo yao kama njia ya kushinikiza walipwe. mara nyingine makampuni hayo huzima baadhi ya mitambo kwa visingizio kuwa kuna hitilafu, kwa hali hiyo katika gridi ya taifa kuna kuwa na upungufu wa umeme. pia viwango vya kina cha maji katika mabwawa kimeshuka sana kiasi kwamba ufuaji wa umeme umeathirika! TZ kwa sasa tunategemea kwa asilimia kubwa umeme wa makampuni binafsi. tegemeo la umeme wa maji limetoweka kutokana na hali ya hewa kutokuaminika! wanasema athari za mabadiriko ya tabianchi. labda tusubiri hilo bomba la gesi kutoka mtwara hadi dar litakapokamilika, maybe umeme wa kutosha utazalishwa.

mimi kinachonishangaza ni serikali kupuuza mawazo mazuri ya watalaam na wabunge wa upinzani kisa eti watawapa credit wakitekeleza mawazo yao. wabunge kama Zito waliwahi kutoa mawazo kwamba serikali inunue mitambo yake binafsi ya kufua umeme badala ya kutegemea mitambo ya makampuni binafsi. mawazo yao yalipuuzwa kisa eti wapinzani. baadhi ya viongozi wa serikali wanatoa sababu eti serikali haifanyi biashara kwa hiyo haiwezi kununua mitambo yake na kufua umeme. sijui kama hawajui kuwa nishati ya umeme ndio bac[SIZE=3]kbone ya uchumi wa Taifa na uchumi wa mwananchi m[SIZE=3]moja mmoja binafsi. then wanatuimbia ngonjela eti [SIZE=3]'
[/SIZE][/SIZE][/SIZE][SIZE=3]maisha bora kwa kila mtanzania inawezekana[/SIZE][SIZE=3]' unless kama ni '[/SIZE][SIZE=3]bora maisha kwa kila mdanganyik[SIZE=3]a anayewezwa sa[SIZE=3]na[/SIZE][/SIZE][/SIZE][SIZE=3][SIZE=3][SIZE=3]'![/SIZE][/SIZE][/SIZE]
:bowl: :bowl: :bowl:

Yes, well said mkuu, lakini basi TANESCO wanapashwa kuwa wazi na kutwambia kinachoendelea badala ya kukaa kimya? Waje watwambie kama ni mgawo umeanza basi tujue mbona tuliishazoea?

Tiba
 
Yes, well said mkuu, lakini basi TANESCO wanapashwa kuwa wazi na kutwambia kinachoendelea badala ya kukaa kimya? Waje watwambie kama ni mgawo umeanza basi tujue mbona tuliishazoea?

Tiba

ni kweli mkuu maana TANESCO wanatuweka katika wakati mgumu! licha ya mgao kuna maeneo mengine umeme hauna nguvu. kwangu ikifika saa moja jioni siwezi kuwasha computer! hii mbaya pia!
 
Mwigulu Nchemba na Nape: CCM ITATAWALA MILELE.......
 
Back
Top Bottom