Umeme hali ni tete

Umeme hali ni tete

Usijali ukifikiri sana maisha ya bongo kipara hichoooooo unakiita.twende zetu quality center savanna kwenye kiyoyozi huku tunapiga maji taratibu mida ya saa moja umeme utakuwa umerudi.
I would love to see that place,sijawahi kuwepo
 
Sinza pia hakuna tangu saa 1 kasoro asubuhi. Na alhamis jion saa kumi na mbili walikata wakarudisha ijumaa saa 3 asubuhi!

Kwa kweli inauzi sana!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kweli mkuu mburahati napo na kama hapo kwenu, hatulala kwa joto kali, ikabidi 2 2we 2nakula doria uani.
 
prof. Muhongo vipi mbona yupo kimya? Yeye si ndiye aliyesema hakutakuwa na mgao wa umeme ? Dah bongo raha sana

hivi muambiwe mara ngapi kuwa wanarekebisha miundo mbinu? Acheni uchochezi

 
Yaani hadi sasa haujarudi na ukiwauliza wanadai kuna hitilafu kw transfoma kubwa pale ubungo .....
 
Tabata ni market center ya Maji; kwa taarifa za chinichini ni kwamba Dawasco ni kitu kimoja na wale wanaosambaza maji kwa ma-Gari: kwamba wanafanya hivyo ili wananchi waangaike na atimaye wanunue maji yanayosambazwa na hoa wenye ma-gari tena kwa bei. sasa katika hili kuna uwezekano mkubwa likawa Deal la watu fulani fulani linachezwa.
 
Mgao tena yalaaa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
DAWaSCO wanahitaji Prof. Muhongo ili kuacha biashara za rejareja na kutesa wananchi wasio na uwezo wa kununua maji yale ya deal, badala yake wanatumia maji yasiyo salama.
 
mm niliamua kuchimba kisima sina shida.au watu wa ruvu wamezuia maji yao kama mtwara
 
Juzi huu umeme ulikatika muda huu, jana hivyo hivyo, leo ni tangu asubuhi na sasa wamekata tena, ni mgao au wanabadilisha miundo mbinu?
 
mpaka wana mtwara wakubali ges kuja dar..... nimeshanga sana, wamekata saa 12 asb mpaka saa 1 jion then wamechuka tena saa 4..... tanesco achane dharau.
 
Back
Top Bottom