jeipm
JF-Expert Member
- Sep 28, 2018
- 500
- 825
Taifa hili limekumbwa na matukio ya kila uchao na haya matukio ukisikia yanasimuliwa au kuandikwa au kutangazwa yanasikitisha
Wanaume wamegeuka majoka kama jamii inavyowatafsiri au wauaji au wapumbavu kama jamii inayowaita baada ya mauaji kufanyika.
Mauaji kutokana wa wivu wa kimapenzi yanakunyemelea popote pale ulipo, kikubwa baki njia KUU
Mi nawageukia wanawake na pia nawashauri kama una Mme na umemchoka bora ukaomba TALAKA na si KUCHEPUKA.
Wanaume hawapendi unafki