umelelewa na hela za dhuluma,unaendeleza dhuluma. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

umelelewa na hela za dhuluma,unaendeleza dhuluma.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Jun 19, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kutoka kwenye hii thread inayoendelea hapa jamvini:
  Mwenyekiti Kamati Ya Madini Bungeni Aongwa USD 2Million
  nimelazimika kuweka ya kwangu kuongezea nguvu,
  huko nyuma nilileta topic inayoongelea hawa watoto wa wanaojiita viongozi nao kuja kutaka kuwa viongozi,
  nataka kusema kama hawa baba zao wako kimya dunia itaongea,
  huyu mtu sio mwingine bali january makamba,
  umelelewa kwa hela za dhuluma,ushahidi tosha,ukilelewa kwa hela za haki huwezi kuwa mdhulumaji,
  baba zetu ndio waliokulipia school fees huku wakishindwa kutulipia sisi,
  ukasoma na umepata ubunge, kwa haki au wizi,
  leo hii umeshakula sana maisha huko nyuma kwa hela za baba zetu lakini unaendeleza tabia ileile,
  dunia imeona na tunaangalia kwa jicho la karibu mwisho wako na wenzio utakuwaje!!!!!!!!
   
 2. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duhh! umemtuhumu sana ila najua ni kwa ajiri ya hasira ya ugumu wa maisha. Aliyetoa thread mpaka sasa hajathibitisha chanzo na ukweli wa habari yake lakini ujumbe wako umefika kwa Kijana Januari Makamba. Ikiwa kama hakufanya hivyo basi hatafanya tena maishani mwake
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Hee!! wait a min. Unahoja nzuri, lakini kwanini usingeendeleza kwenye ile ya awali?

  Au kakumwaga?
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  najua yupo hapa na anapitia tunataka aweke mambo hadharani haraka iwezekanavyo
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kumbuka nimesema naongezea nguvu zaidi
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli nafikiri anastahili kupigwa risasi mbele ya hadhara mchana
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sio nchii hii,anaweza kupewa uwaziri siku si nyingi
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  @ New York, USA,
   
Loading...