N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,817 Sep 8, 2012 #161 Genecius Kaiza said: Kwa watoto wa kiafrica, bila kitu hii huwezi kusonga mbele!!!! Click to expand... Namshukuru mwalimu wangu wa middle school kwa kunichapa viboko ama sivyo nisingefika hapa nilipofika !! R.I.P mwalimu wangu!!
Genecius Kaiza said: Kwa watoto wa kiafrica, bila kitu hii huwezi kusonga mbele!!!! Click to expand... Namshukuru mwalimu wangu wa middle school kwa kunichapa viboko ama sivyo nisingefika hapa nilipofika !! R.I.P mwalimu wangu!!
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,817 Sep 8, 2012 #162 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Bongo tambarale watu wanajiingilia kama wanakwenda maliwatoni sababu ya serikali dhaifu!!
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Bongo tambarale watu wanajiingilia kama wanakwenda maliwatoni sababu ya serikali dhaifu!!
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,390 Sep 8, 2012 #163 Hapa si bongo....utawashika wenye uwezo mdogo wa kupambanua mambo....usijali maana wapo wengi mno..
M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Sep 8, 2012 #164 Sio bongo tu ata kwa wazungu haya mambo yapo, sema wanakuja kutudanganya sisi tuache kuwadhibu hivi watoto wetu ndo matokeo yake yanakuwa mabox, wakati watoto wao wanaboreka.
Sio bongo tu ata kwa wazungu haya mambo yapo, sema wanakuja kutudanganya sisi tuache kuwadhibu hivi watoto wetu ndo matokeo yake yanakuwa mabox, wakati watoto wao wanaboreka.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,317 Reaction score 108,374 Sep 8, 2012 #165 Mtoto usipomchapa mwisho wa siku anakua mbulula
U Ubungo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 1,303 Reaction score 340 Sep 8, 2012 #166 Shule nyingi makini kiboko ni lazima ili kuwaweka sawa madogo watukutu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,317 Reaction score 108,374 Sep 8, 2012 #167 Kimsingi sio Bongo, moja ya sababu ni kuwa huwa hatuendeshi gari upande wa kulia
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 593 Sep 8, 2012 #168 inapatikana hoteli gani hii msosi?? naona imenivutia
M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Sep 8, 2012 #169 tiba ya kisukari na presha hii jamani! kuleni kwa wingi
M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Sep 8, 2012 #170 NingaR said: inapatikana hoteli gani hii msosi?? naona imenivutia Click to expand... kwa taji kantini pale udom!
NingaR said: inapatikana hoteli gani hii msosi?? naona imenivutia Click to expand... kwa taji kantini pale udom!
Shakazulu JF-Expert Member Joined Feb 23, 2007 Posts 957 Reaction score 283 Sep 8, 2012 #171 watu8 said: Kimsingi sio Bongo, moja ya sababu ni kuwa huwa hatuendeshi gari upande wa kulia Click to expand... hilo gari linaweza kuwa limeegeshwa hapo. Hii picha ni Kenya. Kwa habari zaidi gonga hapaKenya to Weed Out Illegal Foreign Traders | Mwakilishi.com
watu8 said: Kimsingi sio Bongo, moja ya sababu ni kuwa huwa hatuendeshi gari upande wa kulia Click to expand... hilo gari linaweza kuwa limeegeshwa hapo. Hii picha ni Kenya. Kwa habari zaidi gonga hapaKenya to Weed Out Illegal Foreign Traders | Mwakilishi.com
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,317 Reaction score 108,374 Sep 8, 2012 #172 Shakazulu said: hilo gari linaweza kuwa limeegeshwa hapo. Hii picha ni Kenya. Kwa habari zaidi gonga hapaKenya to Weed Out Illegal Foreign Traders | Mwakilishi.com Click to expand... you're still supporting my predictions
Shakazulu said: hilo gari linaweza kuwa limeegeshwa hapo. Hii picha ni Kenya. Kwa habari zaidi gonga hapaKenya to Weed Out Illegal Foreign Traders | Mwakilishi.com Click to expand... you're still supporting my predictions
W wingman7 JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 346 Reaction score 78 Sep 9, 2012 #173 PopoBawa
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,859 Sep 9, 2012 #174 Kama si bongo lakini hii inawezekana sana
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,859 Sep 9, 2012 #175 Mmmh uonevu