Cpendagi Hayo Madude.Mi nakula nyanya chungu na lekokobanga le bamuyee we umekula nini
View attachment 677275
Una mkono wa kiume..Mi nakula nyanya chungu na lekokobanga le bamuyee we umekula nini
View attachment 677275
I wish wangu nae awe hiviUbwabwa.maharage ya Nazi.na samaki wa kukaanga.sasa nipo kitandani navuta uradi.na kusikiliza Quran .Surat fatir
Nimezimisi na loshoroNgararumu....wamasai watakua wameelewa




Wako nanI wish wangu nae awe hivi
Aaarghh