Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
- Thread starter
-
- #61
naona una kampani nae sana aisee, angalia mashoga zenu ndio wavunja njia kuu wazuri!
Karucee sio mtu mzuri, hata Eiyer anajua..!
hivi ameolewa kweli? cc. OLESAIDIMU
hahahah!! dogo mtundu kama babake, napita tu jamani
kwa mfano ukiletewa posa sasa hivi na kimvua mvua.. what will you do?
haya.. ila kumbuka, bahati ni upepo, sasa upo kwako!........ will be rejected.
Eiyer na OLESAIDIMU wakikubaliana na hii kauli naoa mke wa pili! ,, Karuceehahahaha hujui kafunga ndoa na wote wawili
nini..!? hahahaaa!! ngoja nilete wanne kwa mkupuo nione mtkavyopigana, dadeki!afu ukioa huyo mke utaondoka kama ulivyozaliwa
nini..!? hahahaaa!! ngoja nilete wanne kwa mkupuo nione mtkavyopigana, dadeki!
una genes za kichina
As long as there is room for error I am gonna win and I will be my own defence counsel.
Remember my zodiac sign? Now don't get me started. lol
naona una kampani nae sana aisee, angalia mashoga zenu ndio wavunja njia kuu wazuri!
Karucee sio mtu mzuri, hata Eiyer anajua..!
hivi ameolewa kweli? cc. OLESAIDIMU
hahahah!! dogo mtundu kama babake, napita tu jamani
Watoto wa kidigitali hao
hahahaha wazazi wake ni wafuasi wa bob nadhani wanakazoesha mapema swaga cc OLESAIDIMU
hata hivyo nimeshakustukia dadeki... usiku mwema, mi napita tu!we cheka tu ila ukioa nitaenda kuinvest kwingine lol
ala! kumbe!sanaaaaaaaaaaaa
mwanao kashalala eeeeh
sanaaaaaaaaaaaa
mwanao kashalala eeeeh