Umejipangaje usipoolewa?

Huwa wanaforce kutafuta mtoto. Na wanampata, watalea huyo mtoto na hawa watoto wao mara nyingi hufanikiwa kwa kiwango cha kati.

Na maisha yao huishia hapo, kwenye mahusiano huwa na wapenzi tu wa hapa na pale na waume za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…