Umejipangaje mtoko wa kesho

Mi wanawake zangu wote wameninunia.. Najua mnajua sababu Ni nini..hivyo basi ntakua ndani tu kwa msaada Wa Emperial blue ukinipa company
 
Mi wanawake zangu wote wameninunia.. Najua mnajua sababu Ni nini..hivyo basi ntakua ndani tu kwa msaada Wa Emperial blue ukinipa company
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila kusahau kitambaa cha kufutia
 
Nitatoka na mume wangu...pocket money anayo yeye mwenyewe
 
Tukutane dar live mbagara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…