Nitavaa suruali nyekundu, shati jeusi na viatu vyekundu halafu nanyosha goti hadi kaziniUmejipangaje mtoko wa kesho ?
Elfu kumi tu mkuu bia 4 na kitimoto nusu uko wapi ?
HAITOSHI AISEE ACHA UONGO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nina 10000 inanitosha bia 4 na kitimoto nusu
Wewe unaenda kuliwa wapi hiyo kesho?[emoji2089][emoji2089][emoji2089]Labda balimi
Wewe unaenda kuliwa wapi hiyo kesho?[emoji2089][emoji2089][emoji2089]