Umejikwatua eh? Wewe sie niliyekupenda!

Umejikwatua eh? Wewe sie niliyekupenda!

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,214
Wakati nilipo kuwa namuona mwaka uliopita kabla sija ondoka kukaa mbali nae kwa maangaiko ya maisha, ni kweli nilimkubali kwa urembo wake wa asili, alikuwa mnene wa kadri na mweusi wa dawa yaani (cheusi dawa), nikampenda na kumpenda mpaka nikaamua kumwaga maisha yangu ya mapenzi kwake.

Lakini sasa amebadilika,amejikwatua amekuwa mweupe atasijui nisemeje , kibaya zaidi kanenepa sana makalio mpaka najiuliza ni mabadiliko ya aina gani haya naona kelo kuwa nae karibu.

Na natamani nivunje mapenzi yetu kwani huyu si yule niliempenda mwanzo, na ndo maana nilipo kutananae mara niliporudi kwenye maangaiko yangu nilimwambia "umejikwatua ee".

Ushahuri wenu jamani
 
Wanawake wanakabiliwa na tatizo la insecurity ndio maana hawajiamini hata kidogo, kila dakika wanajiona wana mapungufu
 
Yaani navonenepeana sijui kama nitasalimika! Ila juice ya karolite na supu ya jiki sijanywa bado.

Mi naona umteme tu kwanini ajichubue bwana?
 
Wanawake wanakabiliwa na tatizo la insecurity ndio maana hawajiamini hata kidogo, kila dakika wanajiona wana mapungufu

Kumbe asubuhi ndio mida ya wewe kuongea point??
 
amenenepa na kubadilika rangi, kuwa na busara kidogo usichukulie pupa kumuacha, wajua hali ya hewa imebadilika-mabadiliko ya tabia nchi yameongeza joto na kupunguza mvua, sasa isijekuwa joto ndio limemuathiri....
 
Huwa nawashangaa wanaume wanaowabeza na kuwasema wake/wapenzi wao kwa sababu ya unene.

Unene unasababishwa na mambo mengi.. Ukiacha kula. Sasa basi kama wewe utamwacha mwenzio kwasababu ya unene.. Utaacha wangapi?? Na kunenepa kupo tu lol. Angekuwa mkeo ungemwacha??

Kwanini usifikirie kumhamasisha kufanya mazoezi na kubadilisha mfumo wa ulaji??

Mkuu solve vimeo vyako usiachie wenzio.

(Hilo la carolight ukicheki na mapapa huwa wanadawa ya kufanya kuwa mweusi)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Labda alijua akijikwatua utampenda zaidi,tatizo sikuhizi hata ukienda kutafuta kijijini huko tena ni bora mjini wanajikwatua vizuri,kijijini utakuta kazi ipo usoni tu ukicheki shingo na miguu utadhani bibie katoka kuswim kwenye bwawa la oil chafu.:yo:
 
Teh! Teh! Teh! eti bwawa la oil chafu!
 
Huwa nawashangaa wanaume wanaowabeza na kuwasema wake/wapenzi wao kwa sababu ya unene.

Unene unasababishwa na mambo mengi.. Ukiacha kula. Sasa basi kama wewe utamwacha mwenzio kwasababu ya unene.. Utaacha wangapi?? Na kunenepa kupo tu lol. Angekuwa mkeo ungemwacha??

Kwanini usifikirie kumhamasisha kufanya mazoezi na kubadilisha mfumo wa ulaji??

Mkuu solve vimeo vyako usiachie wenzio.

(Hilo la carolight ukicheki na mapapa huwa wanadawa ya kufanya kuwa mweusi)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
yaani unene huu kumbe utatukosesha mengi hapa duniani
ila si wanapenda walojazia jamani ? au kujazia kumekuwa shida tena?
ishakula kwangu ujue!
 
Mbona hili sio tatizo kubwa,jambo Hilo linasahihishika kabisa,Kama kweli unamtaka awe mkeo mueleza nini unapenda na nini hupendi,mpe mda uone Kama atafata au laa kaweza endelea nae kashindwa basi jipange upya kabla hujamuoa...
 
nakushauri uwe single tu maana binadamu kubadilika maumbile ni kambo la kawaida...ila ya kujichubua ndo ipo ndani ya uwezo wake
 
Pole,atakuwa kutumia za kichina hizo,manake wanawake wengi wamekuwa na mitindo ya kula vidoge wanenepe makalio.
 
Wakati nilipo kuwa namuona mwaka uliopita kabla sija ondoka kukaa mbali nae kwa maangaiko ya maisha, ni kweli nilimkubali kwa urembo wake wa asili, alikuwa mnene wa kadri na mweusi wa dawa yaani (cheusi dawa), nikampenda na kumpenda mpaka nikaamua kumwaga maisha yangu ya mapenzi kwake.

Lakini sasa amebadilika,amejikwatua amekuwa mweupe atasijui nisemeje , kibaya zaidi kanenepa sana makalio mpaka najiuliza ni mabadiliko ya aina gani haya naona kelo kuwa nae karibu.

Na natamani nivunje mapenzi yetu kwani huyu si yule niliempenda mwanzo, na ndo maana nilipo kutananae mara niliporudi kwenye maangaiko yangu nilimwambia "umejikwatua ee".

Ushahuri wenu jamani

Mwambie wazi ila kwa upendo na busara kuwa, UNAMPENDA ZAIDI akiwa natural .....
Kama ana akili zake atakuwa amekuelewa.
 
nakushauri uwe single tu maana binadamu kubadilika maumbile ni kambo la kawaida...ila ya kujichubua ndo ipo ndani ya uwezo wake

mwanamke akishajikoboa na mimi basi! Hilo la kunenepa tutarushana sarakasi mpaka atakonda.!
 
yaani unene huu kumbe utatukosesha mengi hapa duniani
ila si wanapenda walojazia jamani ? au kujazia kumekuwa shida tena?
ishakula kwangu ujue!

hahaaaaa Smile umenichekesha lolz..
ishu sio kujazia mwanawani.. ishu ni umejazia wapi???
ukijazia kwa tumbo au mikono imekula kwako. Unajazia maeneo yaleeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom