Nimejifunza mambo matatu makubwa.
Mosi,WaTanzania wengi wameichoka CCM wanataka mabadiliko ingawa mfumo uliopo kuanzia tume ya uchaguzi na vyombo vya dola bado havijawa tayari kwa mabadiliko.
Mbili,Mgombea uRais wa UKAWA alikuwa dhaifu sana hasa eneo la kujieleza badala yake wapiga debe Sumaye,Kingunge,Mgeja na Msindai ndio waliochukua nafasi kubwa ya kuomba wapiga kura ridhaa ya kuingia Ikulu huku mhusika mkuu akishindwa kutawala jukwaa.
Tatu,UKAWA hawakuwa wamejiandaa vya kutosha kukabiliana na hila,ghilba na fitna za CCM na serekali yake.
Mimi nimejifunza watanzania wameichoka sana CCM hadi yeyote yule akija kuwaambia tuitoe CCM wanamkubali
Mimi nimejifunza watanzania wameichoka sana CCM hadi yeyote yule akija kuwaambia tuitoe CCM wanamkubali
Hivi ikiwa kama wewe ni mwananchi wa kawaida na mpiga kura, ni jambo gani umejifunza kutokana na uchaguzi huu kwa tukio la Lowassa ambaye tulikuwa tukimfahamu kama fisadi mkubwa sana kwa muda mrefu tu lakini mwishoni kajakuishia kuwa mgombea urais?
Mimi binafsi nimejifunza kuwa wakati wananchi tuna hamu ya mabadiliko wenzetu pia wao wana hamu ya madaraka,hivyo pengine hawa wengine niwajuwao kama mafisadi leo yawezakuwa ni tofauti na nijuavyo.
Mabadiliko si lazima yaanzie ndani tu, hata from external inaweza kuwa chanzo cha mabadiliko.Walio wachache, tulio wengi tunaamini mabadiliko huanzia ndani mwako na ndiyo maana tukaanza kuwapangua akina Lowassa.
Mimi nimejifunza watanzania wameichoka sana CCM hadi yeyote yule akija kuwaambia tuitoe CCM wanamkubali