Ukiangalia katika siasa zetu na mambo mengi hii nchi inayopitia nadhani hii picha inaweza kua na ujumbe ambao kila mtu anaweza kuutafasiri anavyoweza lakini CCM nadhani pia mnaweza jifunza kitu hapa
Yani hapo wanazi wa vyama(especially Chadema) ndo kidole chenye kilemba..na kidole Cha mbele yake ndo uongozi wa chama(vyama) ambao sirikali unaishughulikia ili kuondoka upinzani...Sasa Kila wakipiga pigo..wanaoumia ni wanazi wa vyama...viongozi wa vyama husika wanakwepa na kurudi pale pale..