GE2025 Umejiandaaje Tarehe 29 Oktoba?

GE2025 Umejiandaaje Tarehe 29 Oktoba?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watajua wenyewe hata wakifunga mitandao hatuna shida maana tutashinda barabarani hiyo siku, so watajichosha tu maana hatutakuwa na muda wa kuchekeana mtandaoni.
 
Sasa sahivi kuna upepo gani zaidi ya manyumbu kuendelea kupelekewa moto na majizi ya Ccm? Acheni unyumbu mtaisha kweli hata wewe leo unawaona hao nyumbu una umoja nao ila siku ukitekwa hamna watakachofanya hawawezi hata kuandamana kwaajili yako, kuwa makini
Wewe unaishi ili siku za kufa zifike upumzike hauko sawa..
 
Wewe unaishi ili siku za kufa zifike upumzike hauko sawa..
Nakusubiri tarehe 29 Cheguevara wa kazuramimba kigoma ufanye mapinduzi ukitegemea kundi la manyumbu lifanye hayo mabadiliko
 
Nakusubiri tarehe 29 Cheguevara wa kazuramimba kigoma ufanye mapinduzi ukitegemea kundi la manyumbu lifanye hayo mabadiliko
Safari za mamba kenge hamkosi, nyie km majirani wanaofurahia umeme ukikatika mtaa mzima ili wote wabaki kwenye giza..!

Weka location ili tar 30 tuje tukusalimie huko makunduchi 😹
 
Safari za mamba kenge hamkosi, nyie km majirani wanaofurahia umeme ukikatika mtaa mzima ili wote wabaki kwenye giza..!

Weka location ili tar 30 tuje tukusalimie huko makunduchi 😹
Mimi sipo kwenye safari yenu siwezi kuongozana na Nyumbu njia moja, maana nyumbu hata wakiwa elfu 5 wanaweza kukimbizwa na kitoto cha sungura , nitakua na nyie safari moja siku mkiacha unafiki na uoga, kwa sasa acha mtembezewe kichapo na majizi ya Ccm kichapo kikikolea hadi mkatoa pembe kujitetea ndo nitakua na nyie
 
Kama maandamano yako kweli.
Sehem nzur ya kuanzia ni Hostel za vyuo. Vyuo vyote Vikubwa waungane.
Na Gen Z wote watoke kwa makundi.
Raia watawaunga mkono huko mbele barabaran.
Kuna sehem kama Masoko.
Hasa kkoo.
Nk nk.
Je mipango iko?.

Dah nimevujisha paper tayar.
 
Mimi sipo kwenye safari yenu siwezi kuongozana na Nyumbu njia moja, maana nyumbu hata wakiwa elfu 5 wanaweza kukimbizwa na kitoto cha sungura , nitakua na nyie safari moja siku mkiacha unafiki na uoga, kwa sasa acha mtembezewe kichapo na majizi ya Ccm kichapo kikikolea hadi mkatoa pembe kujitetea ndo nitakua na nyie
Haupo safari ila uko nyuma nyuma km mkia wa mkondoo..
Wewe ndo mnafki km nyeti za mbwa
 
Haupo safari ila uko nyuma nyuma km mkia wa mkondoo..
Wewe ndo mnafki km nyeti za mbwa
Acha mbwembwe tarehe 29 hakuna mahali unaenda , labda ujifungie ndani nikupe bakora yangu ujichape nayo
 
Jeshi tu ndio linaweza kuikomboa hii nchi. Shida ni wale wa ngazi za juu kabisa nao wameshalambishwa asali.
KinaCaptain Tesha ndio watakao tukomboa kutoka kwenye makucha ya ccm.
 
Hakuna chochote kitatokea watu watapiga kura kama kawaida. Hawa Gen Z wanao lilia mishangazi walio jaa uoga mithili ya kunguni hakuna chochote watakacho fanya. Mbaya zaidi wameisha wajua namna mlivyo, nyie mambo mnayo weza ni kujazana pale taifa kwenye mambo ya Simba na Yanga.
 
Kwa utumbo unaotype Sitegemei hata km jongoo anapanda mtungi 😹
Tarehe 29 Nitakupa bakora yangu ujichape nayo na nikiwa nakubagaza na kukubananga nataka ulie ukisema la victoria siempre
 
Tarehe 29 Nitakupa bakora yangu ujichape nayo na nikiwa nakubagaza na kukubananga nataka ulie ukisema la victoria siempre
Endelea kuota mpaka ubebe mimba 😹
 
Ata hao wanajeshi hakuna chochote watafanya.

Kwenye harakati kama hizi wananchi wenyewe ndio huwa wana nguvu zaidi ya kufanya mabadiliko, mifano hai tunayo kutoka Nepal, Kenya, Misri na kwingineko. Hao wanajeshi huwa wanakuja baada ya kuona wananchi wako serious na kile wanataka.

Sasa turudi kwenye taifa letu tujiulize tuna wananchi wa kufanya hivyo? Jibu ni hapana, na vijana ndio wahusika wakuu sasa tizama aina ya vijana tulio nao katika taifa hili. Hawa wa kulilia mishangazi kweli ndio tunategemea wafanye jambo. My friend bora kula ugali kisha kunywa maji mengi ulale.

Kwa aina ya kina Captain Tesha, hizo harakati huwa zinafanywa kimya kimya. Sasa yeye anakuja hadharani ata bado hajafanya chochote. Unatakiwa kuja hadharani vile tayari umeisha fanya mageuzi, refer Captain Traole na wengine. Unakuja hadharani kusema mambo mengi kama yale si unawapa wahusika wakae makini kwamba kuna jambo mbele yao. Sisi watanzania sijui tuna shida gani aisee! Ata Polepole alivyo chukuliwa yaani nakosa majibu ya maswali yangu.
Jeshi tu ndio linaweza kuikomboa hii nchi. Shida ni wale wa ngazi za juu kabisa nao wameshalambishwa asali.
KinaCaptain Tesha ndio watakao tukomboa kutoka kwenye makucha ya ccm.
 
Back
Top Bottom