Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,347
- 17,671
Sawa
Shemej. Dah! Umenichekesha sanaLucha upo km kinyeo cha kuku haijulikani km cha kunyea au cha kutagia..!! 😹😹
Wengine ni veggies hawaamini kwa upinzani kwa propaganda walizolishwa na vyama. vyao lakini wanataka mabadiliko..!!
😹 Hawezi kuwa Msigwa ni mlevi mmoja anayepoteza shida alizonazo kupitia JFHuyo ni Gerson Msigwa
😹😹😹 Leo mara ya pili nakuuliza “SHEMEJI YAKO KWA NANI?”Shemej. Dah! Umenichekesha sana
NRNE lakini Chadema wasiingie front na waache kujifanya wao wahusika wananchi wanapoanza kudai haki zao..!!Ni kweli shem.
Sasa Agenda kuu ya maandamano ya 29 Oct ni nn?..
Tumebaki kusema ndo wataharibu zaidi hivi kuna uharibifu utakaozidi jinsi watu wanatekwa na kupotezwa kama kuku 😡😡Wakifanya hivyo ndio wataharibu zaidi. Tukifanya mzaha nchi itaingia kwenye machafuko makubwa mno.
Let's do it. Kesho tutoke mkuu.Tumebaki kusema ndo wataharibu zaidi hivi kuna uharibifu utakaozidi jinsi watu wanatekwa na kupotezwa kama kuku 😡😡
We need to act now ila kwa hili la leo nimeconclude hamna action wabongo mtachukua tusubirie kulamba lami tu!
NRNE Linahitaj kuwa ni jambo la kitaifa na sio kichama.NRNE lakini Chadema wasiingie front na waache kujifanya wao wahusika wananchi wanapoanza kudai haki zao..!!
Mi sipo upande wowote nasema ukweli siwezi kuwa upande wenu wazee wa mikwara mtandaoni ila waoga kama nyumbu wala siwezi kuwa upande wa majizi ya CcmLucha upo km kinyeo cha kuku haijulikani km cha kunyea au cha kutagia..!! 😹😹
Mi sipo upande wowote nasema ukweli siwezi kuwa upande wenu wazee wa mikwara mtandaoni ila waoga kama nyumbu wala siwezi kuwa upande wa majizi ya Ccm
Tunatiana moyo kwamba ikifika trh 29 mambo yatabadilikaExactly.
Agenda ingekuwa free Lissu.
Na Lissu akiachiwa agenda inakuwa Katiba mpya.
Sasa hizi agenda haziongelewi.
Kama umewahi kuwa karibu na Gerson Msigwa basi huwezi kumfananisha na huyo mnuka vumbi.Huyo ni Gerson Msigwa
Labda mtoke muende shopping au kutembea beach. Wabongo kwenye kudai haki kwa nguvu bado tunajifunza.Let's do it. Kesho tutoke mkuu.
Tutafika tu, hatupo mbali sana.Labda mtoke muende shopping au kutembea beach. Wabongo kwenye kudai haki kwa nguvu bado tunajifunza.
Mchana kariakoo nlikua natazama jinsi kila mmoja hana habari walah nlikua nasikia hasira 😭…Labda mtoke muende shopping au kutembea beach. Wabongo kwenye kudai haki kwa nguvu bado tunajifunza.
Hilo ndo la msingiNRNE Linahitaj kuwa ni jambo la kitaifa na sio kichama.
Mm pia nadhan hili ndio haswaa.
Na baadae wakikubali hili Raia watapenyeza katiba mpya.
Kwa namna hiyo. Ndio naona ushind uko.
Wewe ni mnafki unaangalia upepo ulipo, mara ngapi unawaunga mkono hao majizi?Mi sipo upande wowote nasema ukweli siwezi kuwa upande wenu wazee wa mikwara mtandaoni ila waoga kama nyumbu wala siwezi kuwa upande wa majizi ya Ccm
Sasa sahivi kuna upepo gani zaidi ya manyumbu kuendelea kupelekewa moto na majizi ya Ccm? Acheni unyumbu mtaisha kweli hata wewe leo unawaona hao nyumbu una umoja nao ila siku ukitekwa hamna watakachofanya hawawezi hata kuandamana kwaajili yako, kuwa makiniWewe ni mnafki unaangalia upepo ulipo, mara ngapi unawaunga mkono hao majizi?