GE2025 Umejiandaaje Tarehe 29 Oktoba?

GE2025 Umejiandaaje Tarehe 29 Oktoba?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Castle_Lite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
3,300
Reaction score
6,381
Umejiandaaje na siku ya Uchaguzi Tar 29 Oct.

Maana Hakuna mtandao wa simu utafanya kazi.

Utasema unatumia VPN. Ila vpn bila data ni bure. Kwahiyo watazima internet.

Watafinya calls na sms. Kwahiyo call drops zitakuwa za kutosha.

Kwahiyo No internet. Call drops za kutosha . Tigopesa, Mpesa na mitandao ya Bank yote via phone itakuwa chini...

Je wewe Umejiandaaje?.

Ushauri tu.
Uwe na Cash ya kutosha kwa atleast Wiki moja..

Na Hili halihitaji unabii au sijui nimeoteshwa au NRNE.

Na pia sio Prediction bali ni Spoiler.
 
Yote kwaajili ya nini? Majizi ya Ccm yakubali watu hawawataki, wanabahati sana wa Tz wengi ni waoga kama nyumbu mtoto wa miaka miwili anaweza kuzikurupua hata nyumbu 300 na zote zikatoka nduki kwa uoga
 
Umejiandaaje na siku ya Uchaguzi Tar 29 Oct.

Maana Hakuna mtandao wa simu utafanya kazi.

Utasema unatumia VPN. Ila vpn bila data ni bure. Kwahiyo watazima internet.

Watafinya calls na sms. Kwahiyo call drops zitakuwa za kutosha.

Kwahiyo No internet. Call drops za kutosha . Tigopesa, Mpesa na mitandao ya Bank yote via phone itakuwa chini...

Je wewe Umejiandaaje?.

Ushauri tu.
Uwe na Cash ya kutosha kwa atleast Wiki moja..

Na Hili halihitaji unabii au sijui nimeoteshwa au NRNE.

Na pia sio Prediction bali ni Spoiler.
Tunapiga kura kama kawa. Mi 5 tena
 
Wakifanya hivyo ndio wataharibu zaidi. Tukifanya mzaha nchi itaingia kwenye machafuko makubwa mno.

Machafuko kwa maandamano au?.
Maandamano mtatakiwa mjiorganise . Kwa sim au kwa group nk. Na mjue mnakutania wap.

Sasa wakizima mtandao. Utajua unaenda wap?.
 
Umejiandaaje na siku ya Uchaguzi Tar 29 Oct.

Maana Hakuna mtandao wa simu utafanya kazi.

Utasema unatumia VPN. Ila vpn bila data ni bure. Kwahiyo watazima internet.

Watafinya calls na sms. Kwahiyo call drops zitakuwa za kutosha.

Kwahiyo No internet. Call drops za kutosha . Tigopesa, Mpesa na mitandao ya Bank yote via phone itakuwa chini...

Je wewe Umejiandaaje?.

Ushauri tu.
Uwe na Cash ya kutosha kwa atleast Wiki moja..

Na Hili halihitaji unabii au sijui nimeoteshwa au NRNE.

Na pia sio Prediction bali ni Spoiler.
Hizi nyakati nazikubali sana, unaweza kumfyekelea mbali adui yako na hamna mtu atajua. This is a double edged sword, watch out
 
October 29 uchaguzi ukifanyika salama, Nchi yetu inaangamia. Yani ndio itakuwa mwisho wa maendeleo ya taifa hili, na nchi nyingi za Africa zitazidi kutuacha mbali
Sisi tutabaki masikini na ongezeko la madeni makubwa huku ufisadi ukienea kila kona.
Na resources zetu zitazidi kunufaisha wazungu na wanasiasa wa hapa nchini. Sisi Watanzania hatutakuwa na matumaini tena. Tutaishi kusubiria kufa tu. Taifa litasimama haraka sana. Mtaona tu, na wazungu watatucheka kwa maana tuliwafukuza na sasa miaka inazidi kwenda ila bado tumebaki masikini, ni aibu ambayo watu weusi tutaibeba vizazi na vizazi
 
😂😂😂 Golden chance. Au mdeni wako anaekudai
Kama wanadhani watashinda wanajidanganya, utaenda kuwadhibiti wananchi ukirudi jioni, familia nzima imechinjiliwa mbali kama kuku
 
Machafuko kwa maandamano au?.
Maandamano mtatakiwa mjiorganise . Kwa sim au kwa group nk. Na mjue mnakutania wap.

Sasa wakizima mtandao. Utajua unaenda wap?.
Swali la kitoto sana. Tatizo hamsomi historia, Juzi tu 2011 wamisri waliandamana na kusababisha machafuko baada ya serikali kuzima mitandao. Je, unadhani waliplan vipi?
 
This is a double edged sword, watch out

Not Real.
Pia Tz hakuna Rebel group.
Hawa majamaa hawajakaa kimya. Wanajua wataanzia wap had wap kuzuia kwa namna yoyote ile ambayo Raia wamepanga.

Kama maandamano na waTZ wako tayar basi wale watu wa mbele
Wakina Mange. Fatma karume. Lissu. Gwajima na maaskofu wake. Wakina Heche na makada wa chadema bon yai nk. Wakina Kitima. Agustino Nyerere. Wakina H.Polepole, Captain Tesha nk.

Wawe mstar wa mbele pale. Na wakamatwe. Na hapo ndio raia watapata hasira.
Ila kama hakuna mtu wa mbele phyisically. Bas hakuna mtu ataandamana.

Na hili pia sio prediction ni spoiler.
 
Back
Top Bottom