Umeishawahi kupotea mahali hadi ukaanza kuuliza watu hivi?

Mara nyingi sio kupotea, ila ni mazingira mageni kwangu. Nakuwaga mzito sana ila mwisho wa siku inabidi uwe mpole.
 
Great God,

Mara ya mwisho kupotea ilikuwa last year February mjini Washington DC.nilktoka ofisini kwenda lunch kwenye restaurant ambayo boss wangu alikuwa amenipeleka Jana yake, baada ya kupata supu yangu nikasema acha ninyoshe miguu kidogo then nitarudi ofisini.

Baada ya kupita mitaa Kama mitano hivi nikawa nishapoteza memory of where the ofisi is, na address ya ofisi sina kichwani but kwa kuwa nilikuwa na kadi ya kufungulia mlango wa hotel ilibidi nianze kutafuta hotel ilipo ili nianzie hapo kurudi tena ofisini maana siku zote nilikuwa natembea kwa miguu toka hotel kwenda ofisini, hotel niliyokuwa nakaa inaitwa Kempton lounge ipo 16 Streeet NW jirani kabisa na white house, ikulu ya Marekanj.

Hata hivyo nikashindwa kuipata hotel baada ya kuzunguka for 30 minutes,option iliyobaki ikawa ni kuchukua taxi.Guess what? Baada ya kuchukua taxi,taxi driver alichukua less than 3 minutes kufika hotelini
 
Back
Top Bottom