DP World anatukumbusha Ili Tuendelee tunahitaji WATU, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora lakini Sisi kwenye WATU tuna CHAWA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,994
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema Ili nchi iendelee inahitaji WATU, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora

Baadae kidogo mzee Jomo Kenyatta akamwambia Mwalimu anaongoza Mbuzi siyo Watu na Nyerere hakukasirika alicheka tu tena sana

Ukishakuwa na CHAWA badala ya WATU basi hautakuwa na Siasa Safi wala Uongozi Bora

DP World kama Wawekezaji hawana tatizo lolote ndio sababu wako nchi zaidi ya 70 duniani kote

Tatizo liko kwenye nchi wanazoalikwa je Wanakuta nchi hizo zina WATU, Binadamu, Mbuzi au Mizoga tu?!

Nawatakia Sabato Njema!
 
“Kwenye watu tuna chawa” current staste ya nchi yetu
 
CHAWA WENYEWE NDIO NYINYI. WEWE NI CHAWA WA MAGUFULI SIYO CHAWA WA SAMIA.KABURU NI KABURU TU!
 
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema Ili nchi iendelee inahitaji WATU, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora

Baadae kidogo mzee Jomo Kenyatta akamwambia Mwalimu anaongoza Mbuzi siyo Watu na Nyerere hakukasirika alicheka tu tena sana

Ukishakuwa na CHAWA badala ya WATU basi hautakuwa na Siasa Safi wala Uongozi Bora

DP World kama Wawekezaji hawana tatizo lolote ndio sababu wako nchi zaidi ya 70 duniani kote

Tatizo liko kwenye nchi wanazoalikwa je Wanakuta nchi hizo zina WATU, Binadamu, Mbuzi au Mizoga tu?!

Nawatakia Sabato Njema!
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba tatizo la kutokuendelea kwetu ni CHAWA.
Je, una uhakika upi kwamba tuna SIASA SAFI na UONGOZI BORA?
 
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema Ili nchi iendelee inahitaji WATU, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora

Baadae kidogo mzee Jomo Kenyatta akamwambia Mwalimu anaongoza Mbuzi siyo Watu na Nyerere hakukasirika alicheka tu tena sana

Ukishakuwa na CHAWA badala ya WATU basi hautakuwa na Siasa Safi wala Uongozi Bora

DP World kama Wawekezaji hawana tatizo lolote ndio sababu wako nchi zaidi ya 70 duniani kote

Tatizo liko kwenye nchi wanazoalikwa je Wanakuta nchi hizo zina WATU, Binadamu, Mbuzi au Mizoga tu?!

Nawatakia Sabato Njema!
Zina watu wenye tabia ya Unyumbu yaani kujitoa ufahamu, Unyumbu nitabia ya watu waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kutumikia matakwa ya kundi fulani, (conflict of interest) ama uoga wa viongozi wao.(amygdala) matokeo yake ni kushindwa kufanya maamuzi stahiki ama yenye tija, (failure of individual decisions)
 
Nimekuelewa sana
 
chedema haina ajira, watu wanajitolea tu (mimi si chadema, ila naiunga mkono 100,000,000 times).Nimekueleza several times husikii.
Kwahiyo hapo Machame unajitolea na kule kwenye Magofu Tanga unajitolea pia?!😄🔥
 
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema Ili nchi iendelee inahitaji WATU, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora

Baadae kidogo mzee Jomo Kenyatta akamwambia Mwalimu anaongoza Mbuzi siyo Watu na Nyerere hakukasirika alicheka tu tena sana

Ukishakuwa na CHAWA badala ya WATU basi hautakuwa na Siasa Safi wala Uongozi Bora

DP World kama Wawekezaji hawana tatizo lolote ndio sababu wako nchi zaidi ya 70 duniani kote

Tatizo liko kwenye nchi wanazoalikwa je Wanakuta nchi hizo zina WATU, Binadamu, Mbuzi au Mizoga tu?!

Nawatakia Sabato Njema!
Kama kawaida yako, mara moja moja hukaa chini na kutumia akili kujenga mada yenye nguvu, hata kama huijengei hoja za nguvu.

Sikubaliani nawe kiujumla katika hitimisho lako la kijinga.

Panapokuwa na "Viongozi wanaolea Chawa", hiyo kwako unaona ina maana gani?

CHAWA hupenda mazingira ya aina gani ili asitawi na kunenepeana kwa kunyonya uchafu toka kwa viongozi wanaolea uchafu?

Uongozi Bora unaosemwa hapo ni uongozi usiopenda uchafu, ambako ni makazi ya chawa, wewe hilo hulioni akilini mwako?

Uongozi Bora hufanya kazi na "raslimali" watu kuleta maendeleo ya nchi, hili nalo katika akili yako hulioni?

Kuwafanya waTanzania kuwa MBUZI, na hao waKenya wa Jomo utawaita kitu gani? Kuna kitu gani cha maana sana kujifunza hapo?

Tanzania kwa sasa tunakosa "Uongozi Bora" tu, hapo ndipo mkwamo wetu ulipo kwa sasa hivi.
Watu wapo tayari sana kuibadili nchi hii, tena katika muda mfupi sana.

CCM amekuwa ni adui namba moja sasa, mbele ya Ujinga, Maradhi, n.k..

Kinachotakiwa kwa sasa ni waTanzania kufanya moja kati ya mawili" Kuiondoa CCM moja kwa moja na kuweka chama kingine madarakani, au CCM yenyewe, ifanye mabadiliko makubwa huko ndani kwa ndani kuondoa uozo uliojaa huko. Hata humo ndani wamo viongozi wanaoweza kuiongoza nchi hii vizuri, kama wananchi bado wanao wasiwasi na hivi vyama vingine.
WaTanzania kutofanya maamuzi kwa pupa hakuwafanyi kuwa 'MBUZI" kwa aina yoyote ile..'
 
Zina watu wenye tabia ya Unyumbu yaani kujitoa ufahamu, Unyumbu nitabia ya watu waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kutumikia matakwa ya kundi fulani, (conflict of interest) ama uoga wa viongozi wao.(amygdala) matokeo yake ni kushindwa kufanya maamuzi stahiki ama yenye tija, (failure of individual decisions)
Naomba kuongeza kidogo, unyumbu ni kufuata mkumbo bila kutumia akili yako kufikiri, ili mradi tu kuna walio mbele kwenye uelekeo huo na wewe inaelekea bila kujali usalama au madhara yanayoweza kutokea.
Nyumbu hutumbukia kwenye mto wenye mkondo Kasi au wenye mamba wengi kwa kufuata mkumbo.
 
Zina watu wenye tabia ya Unyumbu yaani kujitoa ufahamu, Unyumbu nitabia ya watu waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kutumikia matakwa ya kundi fulani, (conflict of interest) ama uoga wa viongozi wao.(amygdala) matokeo yake ni kushindwa kufanya maamuzi stahiki ama yenye tija, (failure of individual decisions)
Naomba kuongeza kidogo, unyumbu ni kufuata mkumbo bila kutumia akili yako kufikiri, ili mradi tu kuna walio mbele kwenye uelekeo huo na wewe unaelekea bila kujali usalama au madhara yanayoweza kutokea.

Back
Top Bottom