Umeiona hii ya kwenye Gazeti la Ijumaa?

Umeiona hii ya kwenye Gazeti la Ijumaa?

Vyeti hewa vya RC, dah haalfu nanihii alikesha usiku mzima kuchuja majina!!
Alikuwa anaangalia kama ni homeboy au lah!

Vigezo vingine havikuangaliwa.

NB: Kutumia cheti kisichokuwa chako ni kosa kisheria.
 
KILA NIKIONA FIGUSU FIGUSU LA MAKONDA (BASHITE) NAKUMBUKA TUU YULE DADA ALIYESOMA ARDHI KOZI NGUMU UKILINGANISHA NA YULE WA MUCCOBS ALIYESOMA MIAKA 6 KAMA DAKTARI HUKU AKISOMEA KUPOKEA WAGENI OFISNI ALIVYOMNYANYASA KWELI MUNGU HALALI KAMWE........

YULE ALIYETUNGULIWA KWENYE DARAJA LA KIGAMBONI FAMILIA NA HATIMAYE KIFO KWELI MACHOZI YA WATU HAYAKWENDA BURE

MIMI NIKUPE POLE TUU BASHITE HUNA PA KUPUMULIA MAANA HATA MASHINE ZA ICU ZIMEGOMA KUFANYA KAZI
Umesahau kitu kimoja cha atari sana,kumpiga yule mzee ni laana moja mbaya sana kuliko kitu chochote,afadhali umpige kaka yako kuliko kumpiga mzee ambae naepia anawatotowake zaidi ya wewe
 
je kuwa na vyeti feki kwa makonda kunamuepusha vp wema, manji, na wengine kibao kutumia ngada?..acheni ku divert attention ya ngada kwenda kwenye vyeti
Kwan nani kakwambia vyeti feki vinauhusiano na issue ya ngada? think twice
 
SISI TUNATAKA VIONGOZI WACHAPA KAZI NA WENYE UJASIRI! MNAANGALIA VYETI TU, UWEZO JE???? UNAWEZA UKAWA NA CHETI KIZURI SANA LAKINI UWEZO NA UJASIRI HUNA!!!!!!!
Msipindishe chuma cha reli. Hakitakiwi cheti chenye GPA ya first class wala cha Division "ooh". Kinaitajika cheti original chenye majina yake toka anazaliwa. Hata walio kuwa wanapigiwa kelele na Kairuki mpaka kinondolewa kwenye nafasi zao walikuwa WACHAPA KAZI kama hizo unazozisifia.
 
SISI TUNATAKA VIONGOZI WACHAPA KAZI NA WENYE UJASIRI! MNAANGALIA VYETI TU, UWEZO JE???? UNAWEZA UKAWA NA CHETI KIZURI SANA LAKINI UWEZO NA UJASIRI HUNA!!!!!!!
Issue sio cheti wala uwezo, kosa la kufoji cheti ni la jinai, ambapo wengi wa makosa hayo wamefikishwa mahakamani na kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria, baadhi yao walikuwa watendaji wazuri zaidi yake. Hoja ipo hapo. Je, nikweli alifoji cheti cha form 4 kilichomwezesha kuendelea na elimu ya juu?
 
Hivi vyeti vya Makonda wanakuwa navyo Ijumaa na Mzee wa Kolomije? Au wamemuibia? NECTA wanatoa vyeti mara ngapi?

Anyway, kwanza uteuzi wa RC Elimu siyo kigezo ni utashi na matakwa ya Mteuzi tu.

Hivyo kama umemuibia Makonda hivyo vyeti Acha apeleke Vya chekechea tu inatosha ili mradi anajua kusoma na kuandika Over.
 
SISI TUNATAKA VIONGOZI WACHAPA KAZI NA WENYE UJASIRI! MNAANGALIA VYETI TU, UWEZO JE???? UNAWEZA UKAWA NA CHETI KIZURI SANA LAKINI UWEZO NA UJASIRI HUNA!!!!!!!

Umeongea hapo wanammezea mate tu wanataka afukuzwe halafu wamvute kwao wajifanye "Tumemsafisha" . Wanapenda vya mteremko xana KWA hili mmenoaaaa.
 
mmmh leo nanunua udaku kwa mara ya kwanza.mungu nisamehe .acha nimpunguzie shigongo machungu ya deni lake ccm
Nakuhakikishia utajutia ela yako...hakuna la maana mle. Huwezi kupata cheti cha kidato cha nne mtu anayeitwa D. Bashite!
 
SISI TUNATAKA VIONGOZI WACHAPA KAZI NA WENYE UJASIRI! MNAANGALIA VYETI TU, UWEZO JE???? UNAWEZA UKAWA NA CHETI KIZURI SANA LAKINI UWEZO NA UJASIRI HUNA!!!!!!!
Sasa kama ni hivyo, uhakiki wa vyeti ulikuwa wa kazi gani?
 
Hivi vyeti vya Makonda wanakuwa navyo Ijumaa na Mzee wa Kolomije? Au wamemuibia? NECTA wanatoa vyeti mara ngapi?

Anyway, kwanza uteuzi wa RC Elimu siyo kigezo ni utashi na matakwa ya Mteuzi tu.

Hivyo kama umemuibia Makonda hivyo vyeti Acha apeleke Vya chekechea tu inatosha ili mradi anajua kusoma na kuandika Over.
Mkuu hakuna analalamikia uteuzi wa Mkuu wa Mkoa. Hata angekuwa darasa la saba haituhusu. Kinachotuhusu ni Tuhuma za majina na Vyeti Feki. Ajibu kama si kweli.
 
Vita ya dawa za kulevya ni ngumu sana. lazima anayeyapinga kwa nguvu akutane na upinzani mkubwa kama huu. kumbukeni kifo cha Amina Chifupa na wapambanaji wengine.

Kwahyo vita ya madawa ndio vimembadirishia vyeti mheshimia bashite ?
 
SISI TUNATAKA VIONGOZI WACHAPA KAZI NA WENYE UJASIRI! MNAANGALIA VYETI TU, UWEZO JE???? UNAWEZA UKAWA NA CHETI KIZURI SANA LAKINI UWEZO NA UJASIRI HUNA!!!!!!!
Achaga ujinga basi. Vyeti ni muhinu otherwise visingekuwa vinatolewa tofauti kila ngaxi. Funguks mawazo
 
Back
Top Bottom