Umeichoka ndoa yako?


Tatizo Ni kujua Kama Kweli Mtu Uliye nae ana Upendo wa Ukweli?Me Nilisha amua Sitakuja Kuoa.
 
Duh!! Comment zinakatisha tamaa kwa sisi ambao bado atujaingia kwenye ndoa...hamna ata ya kutupa moyo.!!
Jaribu kushauri na wale ambao bado ili tujiandae tukiingia tujue kipi tufanye ili tusiichoke ndoa
 
Kila kitu ni kizuri sana, ila chamsingi wewe fanya vizuri utaona uzuri wake, japo uzuri wake utakuja sio kwa wakati. Kwa mfano huwezi kuwa mchafu wa dhambi Eti ukampata mke mzuri au mume. Jinsi ulivyo unawakilishwa na matendo yanayo kukuta au unayopitia. Kuwa na hofu ya mungu hutashindwa na jambo lolote lile maana utakuwa mkweli, na mkweli anapokea ukweli daima.
 
Tatizo Ni kujua Kama Kweli Mtu Uliye nae ana Upendo wa Ukweli?Me Nilisha amua Sitakuja Kuoa.

hapana uoe ,ndoa raha,tho kuna changamoto za hapa na pale ila mkielekezana na mwenzio namna ya kuenenda kwenye ndoa yenu inapendeza sana,Mtaenjoy.Kumjua anayekupenda inahitajika umchunguze zaidi.
 
Duh!! Comment zinakatisha tamaa kwa sisi ambao bado atujaingia kwenye ndoa...hamna ata ya kutupa moyo.!!
Jaribu kushauri na wale ambao bado ili tujiandae tukiingia tujue kipi tufanye ili tusiichoke ndoa

Queen Ndoa ni tamu.karibu kwenye chama😀
 
Upendo ni kitu muhimu sana katika Ndoa , Palipo upendo kuna Amani ,Furaha , hata kama kuna tatizo hukaa kwa upole kutafakari pamoja na kumaliza tofauti zao .

Kabisaaa.heshima yako
 
Bujibuji umeanza lini kushauri kuhusu ndoa???

Hakuna ushauri wowote hapo kwa wanandoa, labla kwa wanaotazamia kuingia nawenye mipango ya kuingia. Ukichemsha kabla ukifika huko no way our. Nikujifariji tu na kuvumilia, ikibidi unatafuta kipozeo.
 
Last edited by a moderator:
Mi nimechoka najikaza tu.
Muda mwingine unaamua kuwa mpole ila baada ya muda unagundua kuna mambo yanafanyika ya kuumiza!
Mmh hapana Aisee.

Uvumilivu ni sifa ya muhimu sana kwa mwanamke ktk ndoa,bado Mungu anaweza...just mwombe na mtegemee yeye.
 

Sasa je kama anataka kukufanyia maombi?
 
Duuu kwa tuyaonayo na kuyasikia ndoa imekua kitu cha kuogopwa loool MUNGU tusaidie ndoa zetu zijazo ziwe ni sehemu salama na kimbilio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…