AbuuMaryam JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,649 Reaction score 4,756 Feb 6, 2019 Thread starter #21 Ya nje ya ndoa ni sawa na kutupa utu wako... Ya ndani ya ndoa ni heshima yako duniani na akhera... EnvyPearl said: Kwani kuna tofauti gani kutolewa bikra nje ya ndoa na ndani ya ndoa jaman Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Ya nje ya ndoa ni sawa na kutupa utu wako... Ya ndani ya ndoa ni heshima yako duniani na akhera... EnvyPearl said: Kwani kuna tofauti gani kutolewa bikra nje ya ndoa na ndani ya ndoa jaman Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Duke Tachez JF-Expert Member Joined Mar 28, 2018 Posts 5,461 Reaction score 4,170 Feb 6, 2019 #22 Watu8 said: Najaribu kutafakari kila unapotongoza utakuwa unauliza kama mwanamke ni bikra... Click to expand... No,Kuna mwanamke wa kupiga na kuoa hao Ni wanawake wawili tofauti Noma
Watu8 said: Najaribu kutafakari kila unapotongoza utakuwa unauliza kama mwanamke ni bikra... Click to expand... No,Kuna mwanamke wa kupiga na kuoa hao Ni wanawake wawili tofauti Noma
EnvyPearl Senior Member Joined Dec 23, 2018 Posts 170 Reaction score 351 Feb 6, 2019 #23 DsmicSound said: Ndo kama nilivyoeleza hapo... Huwezi kuwa na haaya ya asili... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio kweli
DsmicSound said: Ndo kama nilivyoeleza hapo... Huwezi kuwa na haaya ya asili... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio kweli
EnvyPearl Senior Member Joined Dec 23, 2018 Posts 170 Reaction score 351 Feb 6, 2019 #24 DsmicSound said: Ya nje ya ndoa ni sawa na kutupa utu wako... Ya ndani ya ndoa ni heshima yako duniani na akhera... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wanaume wa zamani labda ila wa sasa hvi hata akukute na bikra anaona kawaida sana
DsmicSound said: Ya nje ya ndoa ni sawa na kutupa utu wako... Ya ndani ya ndoa ni heshima yako duniani na akhera... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wanaume wa zamani labda ila wa sasa hvi hata akukute na bikra anaona kawaida sana
AbuuMaryam JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,649 Reaction score 4,756 Feb 7, 2019 Thread starter #25 EnvyPearl said: Wanaume wa zamani labda ila wa sasa hvi hata akukute na bikra anaona kawaida sana Click to expand... Thubutuu labda huyo ni muovu sanaa...tena wa kutupa... Sent using Jamii Forums mobile app
EnvyPearl said: Wanaume wa zamani labda ila wa sasa hvi hata akukute na bikra anaona kawaida sana Click to expand... Thubutuu labda huyo ni muovu sanaa...tena wa kutupa... Sent using Jamii Forums mobile app
EnvyPearl Senior Member Joined Dec 23, 2018 Posts 170 Reaction score 351 Feb 7, 2019 #26 DsmicSound said: Thubutuu labda huyo ni muovu sanaa...tena wa kutupa... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 🤣 duh
DsmicSound said: Thubutuu labda huyo ni muovu sanaa...tena wa kutupa... Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 🤣 duh