AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
Vya kabla ya ndoa ni vingi vinaonekana...mfano mwangalie EBITOXKwahiyo utafiti wako ulianzia wapi?
Kabla ya ndoa alafu ndoani au vice versa?
Nipo ndoani...Swali kwako mkuu,
Wew uli sex for the first time ukiwa kwenye ndoa??
Au hadi sasa hujawaii.. kufanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
alafu sipendi kwanin tunakua na protokol same mkuuBora nisioe kuliko kuoa asiye bikra
Noma
Mimi nimegundua moja la ajabu sana ila ni ukweli...
BIKRA INAYOTOLEWA BILA NDOA...HUONDOA AIBU(Haaya) YA ASILI ALIYONAYO MWANAMKE...
Yaani hata anaweza akavua mbele za watu na wala asione shida wala tatizo...
NA ILE INAYOONDOLEWA KWENYE NDOA HALALI...MWANAMKE HUBAKI NA AIBU YAKE YA ASILI KABISA WALA HAIPOTEZI...
NA HUYU NDIYE MUUMBA ALIYETUTAKA TUSIZINI...AMETUUMBA HIVYO NA KATUWEKEA SHERIA..SISI TUNAONA KAKOSEA...TUNAZIVUNJA SHERIA ZAKE...
JITUNZENI WADADA...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kubali...wewe una aibu ile ile uliyokuwa nayo kabla hujatolewa bikra nje ya ndoa...? Tuongee ukweli...yaani uzini utolewe bikra...na aibu ndo yaenda nayo...huo ndio ukweli...Hakuna ukweli wowote hapo
Bora nisioe kuliko kuoa asiye bikra
Noma
Zama hizi?Mimi nimegundua moja la ajabu sana ila ni ukweli bikra inayotolewa bila ndoa huondoa aibu(haaya) ya asili aliyonayo mwanamke yaani hata anaweza akavua mbele za watu na wala asione shida wala tatizo na ile inayoondolewa kwenye ndoa halali mwanamke hubaki na aibu yake ya asili kabisa wala haipotezi na huyu ndiye muumba aliyetutaka tusizini...ametuumba hivyo na katuwekea sheria..sisi tunaona kakosea tunazivunja sheria zake.
jitunzeni wadada...
sent using jamii forums mobile app
Ulishawahi kuwa bikra?Huwezi kubali...wewe una aibu ile ile uliyokuwa nayo kabla hujatolewa bikra nje ya ndoa...? Tuongee ukweli...yaani uzini utolewe bikra...na aibu ndo yaenda nayo...huo ndio ukweli...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo kama nilivyoeleza hapo...Kwani kuna tofauti gani kutolewa bikra nje ya ndoa na ndani ya ndoa jaman