Mr noble
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 623
- 550
Hahahaaaa apo sawaaa...Mkuu hakuombwa bao 5 alisema turudie ile ya kwanza haikumfikisha,5si angemfukuza kabisa au bwana lege lege angekufa ikawa mengine..
Hahahaaaa apo sawaaa...Mkuu hakuombwa bao 5 alisema turudie ile ya kwanza haikumfikisha,5si angemfukuza kabisa au bwana lege lege angekufa ikawa mengine..
Heri ya mwaka mpya waungwana..
Wakuu naomba kuuliza hivi unapomwambia mumeo/mpenzi wako unataka mrudie tena kufanya mapenzi baada ya round labda ya pili au ya tatu ni Uhuni au ni kosa?
Kwa mtazamo wangu wangu sio tatizo kama mwenzio haja tosheka, au unatakiwa mwanamme tuu ndio aseme lets do it again akisema mwanamke ni umalaya?
Rafiki yangu alikuja nyumbani new year akanambia mwenzio leo nimeshushuliwa na mpenzi wangu
Kisa nimemwambia mie sijamaliza turudie tena bwana wacha awake " enheee nilikua najua nimepata mke kumbe nimepata Kahaba, mwanamke gani mwenye maadili anaweza kusema turudie"?
Ila kwangu sikuona kosa kama ni mpenzi wako na anataka tena kwanini usimpe?
Jamani baadhi ya wanaume kama hamuwezi kurudia Game semeni sio kujitia mna maadili
sijui heshima sasa hapo mkisaidiwa mtasema mwanamke malaya?
Na huyu mwanamme angekua wa Dar pangekua hapatoshi huyu wa mkoani jamaa hata simmalizi
Au sijui ni ubinafsi hata sielewii, baadhi ya wanaume wenye tabia hii ebu amkeni mnakua wavivu hata kwenye vitu vitamu kula....
hawaelewekagi hawa wako tofauuti kabisaCha jogoo kimekua kitam tena,..perhaps ni ukwel siwez bisha,maana we ndo mwenye experience ya kupigwa mashine,...ila mnatuchanganya,mara mseme mnapenda vya mda mref mara we now unasema unapenda vya mda mfup,..bas sawa kapeace
Tatizo hapa ni nguvu za kiume hivyo mwanaume akaona ni bora tu ajihami kwa kumjia juu kwamba ni Kahaba ila nguvu za kiume za kutosha zingekuwepo wala asingelalama bali angepiga mzigo kwa uhakika.
Heri ya Mwaka mpya NIMPENDENANI

Hahaha u made my day. Atii hela huna......miss you my sisHata ziwe 6 kwani kama mpenzi wako kataka na uwezo unao shida ipo wapi? hela huna basi hata hilo nalo ni tatizo? lol