Umefunzwa wapi niongeze?

Umefunzwa wapi niongeze?

unaweza kusema hivyo ila na mwanamke nae pia ana part yake,kama kazi yake ni hiyo tuu basi hana faida kua nae.
Kuna utofauti sana wa upotezaji wa virutubisho na nguvu kwa mwanamke na mwanaume....ni wazi wanaume tutakuja fia vifuani mwenu tukiwaendekeza....siwez enda round tano af mwanamke nakutana nae zaid ya mara moja kwa wiki
 
Mtahisi natania watu wamebarikiwa na bao fupi ni tamu unapata muda wa k kujitengenezea fluid bao ndefu zinachosha na sio tamu kubali au kataa habari ndo hiyo
Hahaaa mi nna kabao kafupi kapeace tuyajenge nini?
 
Heri ya mwaka mpya waungwana..
Wakuu naomba kuuliza hivi unapomwambia mumeo/mpenzi wako unataka mrudie tena kufanya mapenzi baada ya round labda ya pili au ya tatu ni Uhuni au ni kosa?

Kwa mtazamo wangu wangu sio tatizo kama mwenzio haja tosheka, au unatakiwa mwanamme tuu ndio aseme lets do it again akisema mwanamke ni umalaya?
Rafiki yangu alikuja nyumbani new year akanambia mwenzio leo nimeshushuliwa na mpenzi wangu

Kisa nimemwambia mie sijamaliza turudie tena bwana wacha awake " enheee nilikua najua nimepata mke kumbe nimepata Kahaba, mwanamke gani mwenye maadili anaweza kusema turudie"?

Ila kwangu sikuona kosa kama ni mpenzi wako na anataka tena kwanini usimpe?
Jamani baadhi ya wanaume kama hamuwezi kurudia Game semeni sio kujitia mna maadili
sijui heshima sasa hapo mkisaidiwa mtasema mwanamke malaya?

Na huyu mwanamme angekua wa Dar pangekua hapatoshi huyu wa mkoani jamaa hata simmalizi

Au sijui ni ubinafsi hata sielewii, baadhi ya wanaume wenye tabia hii ebu amkeni mnakua wavivu hata kwenye vitu vitamu kula....
mkuu wanawake wa aina yako mbona siwapati me ninamkosi gan jaman? au nije inbox please.
 
Kuna utofauti sana wa upotezaji wa virutubisho na nguvu kwa mwanamke na mwanaume....ni wazi wanaume tutakuja fia vifuani mwenu tukiwaendekeza....siwez enda round tano af mwanamke nakutana nae zaid ya mara moja kwa wiki
Mkuu hakuombwa bao 5 alisema turudie ile ya kwanza haikumfikisha,5si angemfukuza kabisa au bwana lege lege angekufa ikawa mengine..
 
Back
Top Bottom