Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,008
- 31,816
Nimesoma nikarudia na jibu nikapata hiloSoma uielewe vizuri mkuu,kama mie mbona Alhamdulillah shida hiyo sinaa na mwenyezi mungu aniwekee ..
Nimesoma nikarudia na jibu nikapata hiloSoma uielewe vizuri mkuu,kama mie mbona Alhamdulillah shida hiyo sinaa na mwenyezi mungu aniwekee ..
Nimemuona alivyokuja kumchukua shogangu anavyo jichekesha,moyoni nasema huna lolote mwanamme show off tuu..Raha ya kutiana ni mwanamke amwage tena amwage afike hadi kwenye unconscious condition asee..
Inapendeza mwanamke unatia ukimaliza unaenda kanda maumivu ya kucha na meno sasa unamwachaje mwanamke hajamaliza pumbavu kabisa.
Kama ni bao moja ni sawa but kama ni zaidi ya 3 ila bado anataka tena, basi uyo mwanamke ana tatzoBao moja hajaridhika sasa kuomba nyongeza ndio imekua shidaaaa...
Sasa ustarabu akitaka yeye sawa akitaka mwenzie ni ustarabu? mbinafsi sana au sijui nguvu ndio zinaanza kufikia mwisho..Ninavyoelewa mimi kuna binadamu wa sampuli nyingi sana bibie hasa sisi wanaume. Kuna wale wanaojifanya wastaarabu kwenye kila kitu, kuna wale nusu huku nusu kule, kuna wasiojua chochote halafu kundi la mwisho ni SISI WASHENZI. Changanua hapo
mkuu maneno yako naamini manake sio kawaida..hahahahaaa huyo jamaa alikua amesha kata wese hapo......awezi kupanda mala mbili...
Apana mkuu ilikua moja tuu alipoomba warudie ndio maneno mwanamme yakamtoka.******** hapo jamaa ashamtomba bao 6 halafu anataka nyongeza
Hata haya husiani wala kufanana,huyu malalamiko yake bao moja sikuile halikumridhisha na mwanamme hata kama umeshindwa kurejea tena haikua na haja yakutafuta sababu yakumtupia mpira mwenzie aseme tuu tutafanya siku nyengine au baadae sio kuongea pumba ili ujisafishe..Yale yale ya mke wangu anataka nimnyonye papuchi!
Mie nimemshangaa hivyo alivyo jibu hata kama huwezi basi ficha makucha yako na mdomo mchafu juu..
Mkuu moja tuu,hapo ndio nikabakia mdomo wazi sasa maneno yote ya nini wakati bao lenyewe moja...Kwani mwenzio alikwambia kapigwa round ngapi?
Hahahaaaa,,,,okay sasa huyo naye ni mwanaume kweli??Bao moja??Apana mkuu ilikua moja tuu alipoomba warudie ndio maneno mwanamme yakamtoka.
Hana uwezo probably.Sasa ustarabu akitaka yeye sawa akitaka mwenzie ni ustarabu? mbinafsi sana au sijui nguvu ndio zinaanza kufikia mwisho..
ndo hivooomkuu maneno yako naamini manake sio kawaida..
Anavaa Suruali na yeye eti..lolHahahaaaa,,,,okay sasa huyo naye ni mwanaume kweli??Bao moja??
Enhe sasa hapo mkuu unakua na maneno matamu au uliza nikufanyie nini mpenzi ufurahi na wewe,sio maneno makali mdada wawatu anasema naapa kama ntamwambia tenaa huyu kitu,nikasema hapa nanusa harufu ya jamaa kuibiwaaa..Hana uwezo probably.
Wavulana wa mikoani ni shida tupu, ninasemaga mengi tutayasikia, mwambie aachane na huyo boya, aje kwa vijana wa mjiniHeri ya mwaka mpya waungwana..
Wakuu naomba kuuliza Ivi unapomwambia mumeo/mpenzi wako unataka mrudie tena kufanya mapenzi baada ya round labda ya pili au ya tatu ni Uhuni au ni kosa?
kwa mtazamo wangu wangu sio tatizo kama mwenzio haja tosheka, au unatakiwa mwanamme tuu ndio aseme lets do it again akisema mwanamke ni umalaya?
rafiki yangu alikuja nyumbani new year akanambia mwenzio leo nimeshushuliwa na mpenzi wangu
kisa nimemwambia mie sijamaliza turudie tena bwana wacha awake " enheee nilikua najua nimepata mke kumbe nimepata Kahaba,mwanamke gani mwenye maadili anaweza kusema turudie"?
ila kwangu sikuona kosa kama ni mpenzi wako na anataka tena kwanini usimpe?
jamani baadhi ya wanaume kama hamuwezi kurudia Game semeni sio kujitia mna maadili
sijui heshima sasa hapo mkisaidiwa mtasema mwanamke malaya?
na huyu mwanamme angekua wa Dar pangekua hapatoshi huyu wa mkoani jamaa hata simmalizi
au sijui ni ubinafsi hata sielewii,baadhi ya wanaume wenye tabia hii ebu amkeni mnakua wavivu hata kwenye vitu vitamu kula....
We huwa unaenda round ngapi vile?Wanaumme mnatofautiana sanaaaa...