Umefiwa na mke na unataka kuoa tena?

Umefiwa na mke na unataka kuoa tena?

Be specific bana...umri is number..wadau wa MMU wanavigezo na mashart weka details...
 
acha kumpoteza mwenzio au unamuonea wivu???

wivu tena! hili bandiko kabla lilikuwa kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko so nilikuwa namshauri mahali sahihi hamna wivu hapa. Nadhan limekuwa moved
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom