UMEELEWA NINI HAPO

Mwanamke ni moto wa kuotea mbali kwani anaweza kukulipua muda wowote.
 
pia vice versa ts true ipo hivi.

mwanamke kama mshumaa.

mwanamke maskini atammaliza na kumfuja, bali mwenye pesa atamtunza na atadumu.

Mshumaa ili udumu muda mrefu unatakiwa kuzimwa na kuhifadhiwa ,lakin ukiachwa unawaka uatisha mapema.

ndio misemo hiii inahusika, NIMEGEUKA MSHUMAA KUWAANGAZIA WENZANGU HUKU NATEKETEA, Pia hapo utaona kuwa PESA NI SABUNI YA ROHO.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…