Umeelewa hii

There are two things involved in this picture, can you mention them?

 
Yakwanza hao mashabiki wanakwepa huo mpira sijui ni wa tenis au golf

Yapili hao KE na Me wanapishana ila vivuli vyao vinaonekana kama wanataka kupeana denda!
 
Kuna mpira wa gofu wanaukwepa hapo ndo maana wamekaza sura angalia vizuri hapo kwa mama aliyevaa shati la blue bahari utaona mpira wa gofu
simu ya tochi shida sana,ila wakikaza sura wanakuwa wabayaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…