Umechezea hii wewe? Mambo yetu haya..!!!

Umechezea hii wewe? Mambo yetu haya..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
1392490861486.jpg
 
Ukienda uwanjani kwenye mechi za wakubwa unasubiria fungulia mbwa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Chandim tulikuwatunauita, masharti yake ni timu moja kucheza vifua wazi,hakuna kuingia na viatu,kila anaeliona tukio ndo mwamuzi,magoli ni mawe lkn kuna ubishi eti mpira umegonga mwamba na kawaida kipenga cha kumaliza mpr ni kuanza kuingia giza. Thx 4 remainding me back bro.
 
Basi ukipata soksi ya jeshi mambo ndio yananoga zaidi.
 
enzi za sembo!

buku lako tu unanunua mpira mzuuuri mwanza mjini!

halafu hapo mida ya break ni kuenjoy tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom