Umebaki muda mchache wa kurudi chuo ada sina

Naja naja

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
747
1,453
Maisha ni changamoto juu ya changamoto.

Nilipostpone masomo kwa sababu ya kukosa ada sasa semester imebaki miezi mitatu ianze lakini mpaka sasa hakijaeleweka bado.

Msaada please wa KAZI za muda mfupi nijikusanye kusanye angalau nipate pa kuanzia.

Napatikana dar es salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani biashara ya ufundi simu uliyokuwa unakusanya mtaji na manengelo vipi.

Tafuta 40,000/= kahonge kiwanda X pale pugu road kwamwezi utapata 180,000/= kwa miezi mitatu una 450,000/= unaenda chuo.

Manengelo alisema hakupokea pesa yoyote japo mwanzoni aliniambia walichanga watu wachache
 
Kama kusoma kunazingua tafuta kazi uingize pesa mojakwamoja mana unaweza kusoma mwisho ukazurula kama walivyo wasomi wengi mitaani
 
Muda umebaki mchache mno.
Drop that shit school Boss, faida ya elimu iliyobaki ni kukupa EXPOSURE basi na wewe EXPOSURE ushaipata naamini msomi yoyote asiyekuwa JF anayo EXPOSURE ya ulimwengu unavyoenda.

Kama unaangalia faida ya kuajiriwa sawa, ajira itanibabaisha kwasasa bado sijawa na imani thabiti na supportive resources ila I suggest 4...5 years will be different story.

Portfolio | 2020
 
Ulifanikiwa?

Ila unaombaje kazi hata kama ya muda bila kuelezea unasome nini? walau Mtu aweza kukushikiza mahali kama unaenda kusomea anachohusika nacho.
 
Jamani Mimi Nina shida nimejiunga na masomo ya qt lakini hesabu zinanipiga chenga,je kuna MTU yuko mitaa ya kunduchi awe anakuja kunifundisha? Wanatumia kitabu cha form one na two,then tutalipana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom