MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,819
- 5,819
Moja ya hatua bora kabisa 2016 ni kuchukua uamuzi wa kusoma, Hii itakufanya mwakani kuwa mtu tofauti na unavyoanza leo.
Panga sasa.
Mimi naanza na kitabu cha zamani kabisa, kikisindikizwa na Chapter Moja ya Biblia Kila siku.
The Moral Sayings of Publius Syrus, A Roman slave from syria.
The Moral Sayings of Publius Syrus, a Roman Slave: From the Latin
Nakisomea kwa hii link hii hapo juu, kina page 88.
Wewe unaanza mwaka na kitabu gani????????
THE TANZANIA DEVELOPMENT VISION 2025, ungeanzia hapa kabla ya kumtafuta mtu mmoja mmoja kama chanzo cha ukata.Ufisadi wa Lowasa na Umaskini wa TanZania
Mkuki na nyota Pub.
Mi nakomaa na MHUBIRI kitabu kitata sana hikiNakomaa na Bible, niko kitabu cha Hesabu sasa
Mi nakomaa na MHUBIRI kitabu kitata sana hiki
Nakomaa na Bible, niko kitabu cha Hesabu sasa
Hicho kitabu kipo kwenye Bible mkuu, muandishi wake nafikiri Ni mfalme SuleimanHicho muhibiri cha nani na kinahusu nini?
Moja ya hatua bora kabisa 2016 ni kuchukua uamuzi wa kusoma, Hii itakufanya mwakani kuwa mtu tofauti na unavyoanza leo.
Panga sasa.
Mimi naanza na kitabu cha zamani kabisa, kikisindikizwa na Chapter Moja ya Biblia Kila siku.
The Moral Sayings of Publius Syrus, A Roman slave from syria.
The Moral Sayings of Publius Syrus, a Roman Slave: From the Latin
Nakisomea kwa hii link hii hapo juu, kina page 88.
Wewe unaanza mwaka na kitabu gani????????
hiki kipo cha kiswahili#charminglady? kuna rafiki nataka nimnunulie.Mie nimeanza "Wana na binti za Mungu" by Ellen G. White.
Btw hujambo wewe na family yako shemeji??