Teh Teh mtani karibu kichuri....Mtani acha uongo!!
Lodge?? Itakuwa unanifananishaUkumbuki juzi ulisema umekimbiwa na demu bab?
Hiyo kitu nilionja nikiwa mdogooo nikashindwa, sijawahi tenaaaa!! Vitu vingine sijui raha yake nn aisee!Teh Teh mtani karibu kichuri....
Teh Teh mtani kichuri kina hamasisha na kinapandisha hasira kidogo..Hiyo kitu nilionja nikiwa mdogooo nikashindwa, sijawahi tenaaaa!! Vitu vingine sijui raha yake nn aisee!
Mmmh!! Mie hapanaTeh Teh mtani kichuri kina hamasisha na kinapandisha hasira kidogo..
Shkamoo baba1987 nikiwa JKT Mji kasoro bahari
ni noma sana mkuuu......hiki kizazi hiki....
Acha uongo muzee kizazi cha nyoka kpo vichakanNdo kile kilichoitwa kizazi cha NYOKA
Kumbe humu kuna watoto wetu, tunashinda na kubishana na watoto wadogo, itabidi mods watafute namna kila anayechangia umri wake uonekane ili ajibiwe kulingana na umri wakeWewe ulianza mapenzi mwaka gan?,,binafsi nilianza mwaka 2007 nikiwa la saba wewe je?
Siku ile mzee wa Monduli anapakaziwa kuwa eti naye fisadi.Wewe ulianza mapenzi mwaka gan?,,binafsi nilianza mwaka 2007 nikiwa la saba wewe je?
Mi ndo sijui nitaanza,ila naomba tu nisianze
Mbn sehemu ipo sema mtu akitaka umr uonekane ataweka hadharanKumbe humu kuna watoto wetu, tunashinda na kubishana na watoto wadogo, itabidi mods watafute namna kila anayechangia umri wake uonekane ili ajibiwe kulingana na umri wake
duh, haya muzee unakana kaul yako ?Ndio mimi lakini sijawahi kwenda lodge
Juz tu hapoSiku ile mzee wa Monduli anapakaziwa kuwa eti naye fisadi.