Umeanza mapenzi mwaka gani?

Umeanza mapenzi mwaka gani?

mimi kwa kweli nikiwa na miaka 25 ndo nilianza kwa kweli mpaka sasa sijatulia kabisa watu wananiambia nioe lakini hapana ngoja ninyooshe goti tu mpaka hapo nitakapo tulia
 
Watu kama wewe ndio wanahitajika kwenye jamii
 
Back
Top Bottom