Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,448
- 2,464
Vijana wa mjini wanasema "Unaweza kuichezea mpaka sehemu za siri" kwanini??
Hapa ntakupa apps 10 bora kabsa kama umeroot
1.iFont
2.ES file explorer
3.Luckypatcher
4.Adblocker
5.Exposed Framework
6.Quickboot
7.Flashify
8.Titanium backup
9.Boot Animation
10.Link2SD
Nimeziona sehemu zina uchambuzi wa kina mm nimetaja tu,kama unataka kujua kila 1 ina kazi gani kwenye simu,pitia mwenyewe hapa
Umeroot simu yako???lazima uwe na hizi Apps ~ SmatSkills