Arushaone JF-Expert Member Mar 31, 2012 15,136 13,258 Aug 15, 2012 #121 madame b said: mshindwe na mlegezwe, nitawageuza nyani mimi? Au humjui kama baba yangu ni dr nanilii wa pale mwananyamala? Nitawatumia popobawa hapo mlipo. Click to expand... tumia bluetooth ya kiafrika aka sayansi mwitu.
madame b said: mshindwe na mlegezwe, nitawageuza nyani mimi? Au humjui kama baba yangu ni dr nanilii wa pale mwananyamala? Nitawatumia popobawa hapo mlipo. Click to expand... tumia bluetooth ya kiafrika aka sayansi mwitu.
Arushaone JF-Expert Member Mar 31, 2012 15,136 13,258 Aug 15, 2012 #122 Sijui ni limbwata, manake huyu mamndenyi kweli kani7bishia presha/sugar/bp/nk nk, etc etc.
Arushaone JF-Expert Member Mar 31, 2012 15,136 13,258 Aug 15, 2012 #123 roulette said: bado tunajibu suali au tumeshaingia kipindi cha salam? Click to expand... bado hawajaomba muziki tu hapo.
roulette said: bado tunajibu suali au tumeshaingia kipindi cha salam? Click to expand... bado hawajaomba muziki tu hapo.
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,639 4,526 Aug 15, 2012 #124 Asprin said: Kwa heshima ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, ntakujibia PM. Ila nakutahadharisha, cheza mbali na Madame B. Mziki mkubwa huo tuachie wakongwe tulioshindikana LOOL Click to expand... Babu ngoma itachezeka tu hata kama bado mi mdogo lakini naweza.......
Asprin said: Kwa heshima ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, ntakujibia PM. Ila nakutahadharisha, cheza mbali na Madame B. Mziki mkubwa huo tuachie wakongwe tulioshindikana LOOL Click to expand... Babu ngoma itachezeka tu hata kama bado mi mdogo lakini naweza.......
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,639 4,526 Aug 15, 2012 #125 Madame B said: Wewe acha kunionea wivu, utaiacha dunia ingali bado unaipenda. Click to expand... Mapenzi mama,mapenzi ni kitu muhimu sana kwa binadamu......
Madame B said: Wewe acha kunionea wivu, utaiacha dunia ingali bado unaipenda. Click to expand... Mapenzi mama,mapenzi ni kitu muhimu sana kwa binadamu......
Arabela JF-Expert Member Jul 24, 2012 3,127 2,227 Aug 15, 2012 #126 zubedayo_mchuzi said: Marahaba hujambo princes Click to expand... nipo wifi yng nimekumiss sn princes envy
zubedayo_mchuzi said: Marahaba hujambo princes Click to expand... nipo wifi yng nimekumiss sn princes envy
Arabela JF-Expert Member Jul 24, 2012 3,127 2,227 Aug 15, 2012 #127 zubedayo_mchuzi said: Yupo pemben amekuona...wifi yako anadeka sanaa hataki ninyanyuke... Click to expand... hahahaha niko nawe sambamba mume wng mzuri
zubedayo_mchuzi said: Yupo pemben amekuona...wifi yako anadeka sanaa hataki ninyanyuke... Click to expand... hahahaha niko nawe sambamba mume wng mzuri
lerato Member Aug 11, 2012 41 4 Aug 18, 2012 #128 ni muwazi +mcha mungu +hekima+na muelewa mie hooooooiiii!!!!