....,,,ha ha ha ha Ngoja madame atakujibu
Abeeeeeeeeeeeeeee,
Umeniita????????????????
Wanan'tafuta hao.
Paw, njoo huku unaitwa. Uwe unakumbuka kuja kutusabahi huku chit chat from time to time bwana, ndio nini sasa kujifungia ofisini muda wote?Ha ha ha ha Hooooooo,
Hapana bhana, Kumnyima mtu kitu dhambi,na mfungo huu ndo kbsaaaa,
Ngoja nipige dua ili hyo zali la LIKE linidondokee.
Yeye hataki kutuma salamu?
Atusalimie basi hata wana ChitChat jamaniiiiiiiii
Abeeeeeeeeeeeeeee,
Umeniita????????????????
Wanan'tafuta hao.
.Ipo siku utapatikana tu...
Mupe vidonge vyake anatamani tamani ovyo wake za watu...kale ka ten komandment akatendei haki.
Nanukuu> usimtamani mke wa jirani yako.
.
Mimi ni kama Osama wa pili.
Ukinipata tutakufa wote
Paw, njoo huku unaitwa. Uwe unakumbuka kuja kutusabahi huku chit chat from time to time bwana, ndio nini sasa kujifungia ofisini muda wote?
Na navyopenda kufa na warembo kama wewe,basi na iwe kama unenavyo......
Umdhaniae ndie kumbe.............!!!!!!!!!!!!
Na navyopenda kufa na warembo kama wewe,basi na iwe kama unenavyo......
Umdhaniae ndie kumbe.............!!!!!!!!!!!!
Mashalaaaaah,hivi leo ni chungu cha ngapi vile..??Me naona siku hazendi ivo..
wewe kwa nini unavizia wake za watu usiku?
njoo ulale huyo paka ata kupalua uso!
Unavyoiulizia,utadhani umefunga,kumbe kobe.
heeeee nawe mdekeze!!!! raha ya kudeka upate wa kumdekeza!!Yupo pemben amekuona...wifi yako anadeka sanaa hataki ninyanyuke...
Wewe acha kunionea wivu,
utaiacha dunia ingali bado unaipenda.