St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Mshindwe na Mlegezwe,
Nitawageuza nyani mimi?
Au humjui kama baba yangu ni Dr Nanilii wa pale Mwananyamala?
Nitawatumia Popobawa hapo mlipo.
Bado tunajibu suali au tumeshaingia kipindi cha salam?
Nakutamani kweli,umeninyima LIKE,yaani ungekuwa karibu yangu ..................
Nakutamani kweli,umeninyima LIKE,yaani ungekuwa karibu yangu ..................
Huyo uliemtaji ndo sweetguy wako eeeh
...Jela is loading..
Astaghafirulah (X3)! Mwezi mtukufu huu, tena mi mke wa watu, huoni aibu kunitamani?
NImesema hausiki. Huyo nilie mtaja ni family friend, I have known him for 15 years. Ila na Mzee yuko humu humu.
Mchuzi, unastahili like...
Mchuzi, unastahili like...
Nizawadie nikiamka tu..baada ya kumkumbuka God,nacheki heavy like
Kushindwa haiwezekani,kulegezwa itakuwa ngumu kidoooogo,kugeuzwa nyani hapo labda ufafanue au ulikuwa unamaanisha Nyani Ngabu,suala la baba wa mwananyamala wala siogopi mi ntakuitia mjomba wangu,ukimshinda huyo basi namwita babu yangu Lugalanzula,ukimleta popobawa nasema naye mi ndo shetani sasa sijui nyumba ya shetani popobawa anaingiaje subiri tu mfungo uishe mama tucheze baikoko asi utanifundisha eeh..
Ukimpa kwenye mada hii naandamana,maana mi ndio amenikoti,na ntafanya juu chini tugawane hiyo like
Nishasema naandamana....
Mungu atakulaani,
Na mwaka huu utamsaka sana Mchawi wako.
Dawa yako iko jikoni inachemka.
Hahahaha, like kwa sababu umetoa ujumbe kisha salam? mbona na mimi nilifanya hivo hivo? haya subiri nione kama itakua yako. Paw mzima, bila shaka salam zimemfikia.