.... Ume "HAVE ENOUGH"... Usiongeze.. Get back home...

.... Ume "HAVE ENOUGH"... Usiongeze.. Get back home...

WaliNazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
851
Reaction score
96
... Wadau ...
nåfaham kabisa leo ni Friday..
...nafaham kabisa "TUPO".. bar...
...nafaham kabisa kuna watu wamedhamiria kuzima usiku huu...
...na ninafahamu kwamba kuna WAZEE watarud leo home na kuamsha wanao...kuomba "exercise books".. za watoto wao huku WAMELEWA.. Parenting while Drunk...

Yako mengi.. You can ADD.

Ok.. Tuachane na hayo but my POINT is... "kuna mambo mengi yanatokea frm friday to sunday..."

WAZAZI... KUENI WAZAZI....

Nice Weekend CC.
 
duh . . .
Mie leo nataka nikamuusie mke wangu
anapika mboga ina chumvi sana.

Nikirudi saa 9, naanzisha kikao nyumba nzima.
 
duh . . .
Mie leo nataka nikamuusie mke wangu
anapika mboga ina chumvi sana.

Nikirudi saa 9, naanzisha kikao nyumba nzima.

Naona yange yange mpaka nafikicha macho sioni kitu, konnie who are you?
 
Ukiula na maharage yaliyopikwa kwa nazi ni balaa, embu mwambie waiter aongeze moja


...hakuna chakula kizuri kama "WALINAZI"... hapa wengi watakubali..

Tuachane na hayo... Get back to the TOPIC...
 
...hakuna chakula kizuri kama "WALINAZI"... hapa wengi watakubali..

Tuachane na hayo... Get back to the TOPIC...

Nimwagiza waiter alete nyingine so mi bado nipo nakata lager
 
Sio wote turudio usiku wa ma8 tunatoka ulevini.
Wengine tunatoka kwenye vikao vinavyotambulika.
Semina, Warsha. Makongomano, Mihadhara , Midahalo, Makambi n.k n.k
 
Sio wote turudio usiku wa ma8 tunatoka ulevini.
Wengine tunatoka kwenye vikao vinavyotambulika.
Semina, Warsha. Makongomano, Mihadhara , Midahalo, Makambi n.k n.k

..... ok .....as long as u disturb nobody.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom