Ndugu wadau naomba ushauri wenu tafadhali.
Kijana wangu amepata nafasi ya kwenda kujiunga kidato cha tano katika shule ya umbwe secondary na masomo ya ECA. Lakini nilikuwa nimemwanzisha kusoma Loyola high school masom hayo hayo ECA. Nipo njia panda kuamua kuwa aende Umbwe au abaki Loyola. Nimecheki historia ya Umbwe wanafanya vizuri halikadhalia Loyola sio mbaya. Tofauti zao ni gharma zilizopo. Loyola ni gharama sana kulinganisha na Umbwe. Naomba wenye uzoefu na shule hizi mbili au yeyote yule.
Natanguliza shukrani zangu