nimewahi kusuta!!!
Nilikuwa darasa la nne.
Huyo dada alikuwa mbabe wa darasa wakati nipo darasa la tatu, nilipofika la nne nikaamua liwalo na liwe.
Nikamface kumsuta aache tabia yake, loh nikamtishia kumpiga akanikimbia(laiti kama angejua mie sikuwa na nguvu ulikuwa mkwara tu) asingekimbia
hahahahaa toka siku ile tukawa twaheshimiana.
Ila nashukuru issue haikufika kwa walimu!!!!